Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Habari wana JF

Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

  • Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

  • Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
  • Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
  • Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
  • Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
  • Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki

Katika tembea tembea zangu nimekutana na haya wanawake wengi wanalalamikiwa na wanaume au wavulana kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

1.KUTOKUBALI MAJUKUMU NA UKUBWA, mwanamke umeamua kuwa na mwenza/mpenzi wako mmeoana au mnaishi kama wanandoa kwa makubaliano, lakini utashangaa mwanamke hataki majukumu yake kabisa bado anataka kuendeleza vijiwe vya ujanani na mitoko ya kila siku na mashoga zake bila kujali yeye ni mke au mme wa mtu, kuwa busy na mitandao ya kijamii kupita kiasi hadi kumfanya ashindwe hata kulea mtoto au kukaa na mwenza wake, muda wote kuupload picha fb, kila baada saa profile photo inadilishwe kwenye whatsApp, Viber, wechat, telegram etc wote wote online mpaka usiku, kuvalisha nepi mtoto hajui wala kudeki, muda wote na simu anazunguka mpaka na chaja ya ziada yaani power bank. Kila ukimgusa kutaka kumgegeda amechoka. Kwa wanaume ukiona mwanadada yupo lege lege na mtu wa misamahani mingi (so many excuse - A defence of some offensive behaviour or some failure to keep a promise) ujue hata kitandani hamna kitu.

2. KUKASIRIKA AU KUNUNA NUNA BILA SABABU AU ONYO, hii tabia inakera sana na mara nyingi ni dalili namba moja ya mwanamke alifudhu kwenye michepuko kwa anajidefence, mwanamke akikufanyia hatua pekua simu yake utabaini ametoka kwenye magendo kwa hana hamu na wewe na wewe mwanaume chukua hatua.

3.KUWA MCHOYO AU MBINAFSI - SELFISH. Unakuta mwanamke kakuzidi kipato lakini anakuomba hadi tshs 100 ya chumvi au kiberiti na usipo toa hapiki na yeye anaenda kula chips na kuku, yupo teyari kuingia hasara ya hata 20,000/- kuliko kutoa 100 ya kiberiti na akitoa hela anasema anakukopesha na utarudisha kweli sio utani, kula vinono jikoni peke yake ndio maana wengi wanenepa kwenye ndoa kuliko wanaume hii tabia inakera sana.

4. MWANAMKE KUTOKUWA MWELEWA -UNDERSTANDING /DETERMINED WOMAN. Hapa hii tabia inakera sana yaani utakuta mwanamke haamini kabisa kwamba kuna siku unaweza ukawa huna hela, toa pesa siku zote shindwa moja anakutoa thamani na matusi juu, hii inaenda sambamba na kutokuwa na shukrani yaani mwanamke anaweza kukuomba vitu kumi ukampa tisa ukakosa hicho kimoja atakubadilikia mpaka utajisikia vibaya na wala hata kukushukuru kwa vitu hivyo tisa ng'o. Atanuna mwezi.

5. WIVU ULIOPITILIZA. Utakuta mwanamke kutwa anaishi kwa wasi wasi, ukivaa vizuri kosa utasikia unaenda kwa vijanamke vyako, mbona simu haukopea, mbona msg yangu hukujibu, upo wapi na mimi nije.

6. KUFANYA MITANDAO YA KIJAMII NDIO MAHAKAMA YA MATATIZO YAKE. Utakuta umekosana kidogo teyari kaingia fb kabadilisha status kwenye relation badala ya married anaandika complicated ili watu waanza kumuuzia aanza kuwasimulia, au anaandika am sick ilimradi aulizwe hii inakera sana unakuta watu wanakupigia vipi shemeji anaumwa. Kwa kifupi hana siri.

Copy to:- miss chagga
 
Habari wana JF

Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

  • Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

  • Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
  • Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
  • Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
  • Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
  • Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki

Weka tabia za wanawake zinazokera pia ili tufanye ulinganifu maana you guys mnajua sana kuona mapungufu ya wanaume kuliko yenu.....!!!!
 
Nyie wanawake mnaweza sana kufanya analysis kwa wanaume na kuweza kuona mapungufu yetu bila kufikiria kwamba kuna tabia ambazo tunakua nazo kutokana na influence ya jinsi mnavyotuhandle!!!

Si kwel
 
Mie mwanamme nilifunga naye ndoa,niliamua kuachana naye sababu ya ubinafsi uliopitiliza,hajui kuhudumia famili,hajui mtoto anavaaje,hajui mkewe kaishiwa nini,hajui kuacha pesa ya mboga!anajua kususa tu,kukasirika,wivu,kupiga,kufosi mambo,na kuomba mzigo kila siku na kunifanya niishi maisha ya upweke!ila sio kweli kuwa wanaume wote wapo hivyo....!baadhi tu wasiojua kuwa wao ni vichwa
 
MAMBO WAFANYAYO #WANAWAKE
YANAYOKERA
1. Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana
kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa
mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life
aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo
yaletayo furaha na mafanikio maishani.
ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake
ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko
anao zaidi ya mmoja.
iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa
tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute
unanichezea tu! kwani unachezewaje?
mauno unakata mwenyewe style mbalimbali
unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute
unanichezea tu" ifutwe...
iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe
inakera sana, wapo wanawake wa hivi,
anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari
hii haileti heshima yoyote ile ndoani.
v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna
kitu, ni fungu la kukosa!!
By John Mmassy
 
hiyo namba 1&3 imekaa poa sana..
 
Kama mnataka hela nendeni machimboni, wanawake kueni wajasiriamali sio kutegemea uchi ndo ukulishe, siku umeamka haupo? Utakula mavi yako, madem wa tabia ya kuomba pesa mimi nakula na kusepa!
 
Habari wana JF

Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.

  • Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

  • Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
  • Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
  • Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
  • Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
  • Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki

Maelezo meeeeeengi,point ya msingi hapo sema bwanako hakupi hela na wewe una dhiki ya hela.
Ushauri wangu ili upate bwana anaejua kuhudumia,kajiuze official kabisa sio kwa mtindo huu...Uko ndio utajua bei halisi ya kidude chako.
Wanawake wa kichaga sio kabisa,akili zenu zakijambazi jambaz hazibadiliki.
 
Mkuuu najua kuitafuta hela kuliko unavyofikiri.... men u should work very hard la sivyo mtanyanyasika mpaka mfe............... mwanaume mwenye akili he will take my word na kufanyia kazi japo si sheria...
 
Back
Top Bottom