Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mkuu hapa umeona mbali sana na tunaoandaliwa mizinga tupo wengi yaani hii mada imewapa nguvu kweli, heko kwa mtoa mada.....ila mie wimbo wangu upo palepale sin....e....l...a. kila siku mimi2

asije akaombwa gari?
 
Kaizer hujanifahamu? sijakuelewa. Unamaanisha hujanielewa au? Kama hujanielewa ni kwamba nilikuwa naongezea machache kwenye list ya miss chagga ya kero za wanaume. Mimi niite za wenzi.

Haaa namaanisha sikifahamu, ni mgeni. Hebu jitambulishe tafadhali...mimi ni Kaizer mwanafunzi mtiifu wa snowhite..mume wa DEMBA AshaDii na gfsonwin...ninachepukia kwa Vaislay na ni paroko wa mwallu na msiri wa mwaJ..hommie wa Asprin. ICHANA ni mnovisi wa parokiani kwetu pia. Karibu.
 
Last edited by a moderator:
-kuacha taulo bichi kitandani
-kuacha soksi kwenye viatu
-kuacha magazeti ya wiki nzima kweny gari
-kukoroma
-kudhani nyumba nzima wanapenda kuangalia kipindi cha Drive It
-kumaliza pants na handkierchief zote hata kama umesafir utakuta zimeongezeka mpya tu zote chafu
enhenhenhenhe hadi raha!

Tunacheka lakini haya mambo ni serious. Kina mama tulee watoto wetu vizuri jameni. Haya majanga ni matokeo tu, samaki wameshakauka hawa.
 
Haaa namaanisha sikifahamu, ni mgeni. Hebu jitambulishe tafadhali...mimi ni Kaizer mwanafunzi mtiifu wa snowhite..mume wa DEMBA AshaDii na gfsonwin...ninachepukia kwa Vaislay na ni paroko wa mwallu na msiri wa mwaJ..hommie wa Asprin. ICHANA ni mnovisi wa parokiani kwetu pia. Karibu.

Asante kwa kunikaribisha. Nimeshaishi humu miezi kadhaa na kwa "sura" nakufahamu ila hizi nasaba ndo nilikuwa nijazifahamu. Kutokana na siginecha yako nahofia kujitambulisha zaidi, lakini tuko pamoja.
 
Eli 79 nikuite nani sasa? Ukumbuke wengine tumefika hapa tulipo kutokana na wazazi wetu (mama au baba) kwa kuuza walichokuwa nacho ili tupate elimu ya juu. Sasa wewe umekuwa na familia yako unasema hao wazazi wajiangalie wenyewe? Je kwa vipi? Tuache kuiga hadithi na mila za wengine most likely weupe!
Sijasema hivyo mkuu. Jukumu la kuwaangalia wazazi hasa wakiwa watu wazima ni langu. Nilichosema ni kuwa sitaki kutoa matumizi yasiyo ya lazima, hasa kwa mtu ambaye si mke wala mchumba.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunikaribisha. Nimeshaishi humu miezi kadhaa na kwa "sura" nakufahamu ila hizi nasaba ndo nilikuwa nijazifahamu. Kutokana na siginecha yako nahofia kujitambulisha zaidi, lakini tuko pamoja.

aaaah..nilisahau huyu Khantwe pia nina nasaba naye...jieleze jieleze..jieleze NANDERA....usiogope ukubwa wa samaki......
 
Last edited by a moderator:
Sijasema hivyo mkuu. Jukumu la kuwaangalia wazazi hasa wakiwa watu wazima ni langu. Nilichosema ni kuwa sitaki kutoa matumizi yasiyo ya lazima, hasa kwa mtu ambaye si mke wala mchumba.

Mkuu kama ni hivyo afadhari sasa ninaweza kupumua angalau kidogo. Bado mkuu sijakupata kidogo una maana gani wazazi wakiwa watu wazima? Mkuu bado ninakosa tena maana ya kusema kwa mtu ambaye si mke wala mchumba!! Jaribu kunyosha kidogo ili nipate kupumua zaidi!!
 
Huyo mtoto kama bado ni wa kujisaidia kwenye nguo, ilikuaje mamie akamwacha? Mkiachia kina baba, wawapo wakubwa, ndo hizi lawama wenzi wao wanazileta JF (Mungu aibariki wajukuu zetu waikute-in whatever form 🙂).

wapo wanaume wenzio humu wanatoa hizo huduma kwa watoto wao. Sababu ziko nyingi sana za mama kumuacha mwanae mdogo. Wengi wenye mtazamo wako hupeleka watoto kwa dada zao au mama zao wawalelee watoto mama zao wakiwaacha.
 
Kaizer hujanifahamu? sijakuelewa. Unamaanisha hujanielewa au? Kama hujanielewa ni kwamba nilikuwa naongezea machache kwenye list ya miss chagga ya kero za wanaume. Mimi niite za wenzi.

kweli nimeamini nina gundu! hata wewe hujaniona??? ngoja nikaoge magadi japo uni"deku" tu niendelee na safari zangu.

Hebu jieleze NANDERA....

Cc snowhite
 
Last edited by a moderator:
Hebu jieleze NANDERA....

Cc snowhite

ndo nini kuni -cc? sidanganyiki. Em nitimue mimi. Mmachame mimi kusutwa sijawahi na sitaki. We baki nao hao hao mi ngoja niendelee na safari. Na uwafowadie hii wajue kabisa kuwa nimefuta kauli yangu mheshimiwa. Kwah!
 
-kuacha taulo bichi kitandani
-kuacha soksi kwenye viatu
-kuacha magazeti ya wiki nzima kweny gari
-kukoroma
-kudhani nyumba nzima wanapenda kuangalia kipindi cha Drive It
-kumaliza pants na handkierchief zote hata kama umesafir utakuta zimeongezeka mpya tu zote chafu
enhenhenhenhe hadi raha!

Ha ha drive it wakati gari moja kwenye nyumba
 
Mkuu hapa umeona mbali sana na tunaoandaliwa mizinga tupo wengi yaani hii mada imewapa nguvu kweli, heko kwa mtoa mada.....ila mie wimbo wangu upo palepale sin....e....l...a. kila siku mimi2
Ha ha ha acha ubahili
 
[h=2]Mwanamke Ishi Kwa Uwezo Wako[/h]
Wanawake wakati mwingine unaweza sababisha matatizo, majaribu na hata magonjwa ya moyo kwa mume na familia kwa ujumla. Wanawake tunapenda kupendeza, kuishi mahali pazuri, kula vizuri na kuonekana vizuri. Mambo haya sio dhambi ila hakikisha yanaendana na hali halisi ya maisha na kipato chenu. Kuna wanaume wana madeni kila benki, ofisini, marafiki n.k. kutokana na wake zao kulazimisha maisha ambayo ni juu sana na uwezo wao.
Mwanamke unatakiwa kujua jinsi ya kuipangilia nyumba yako na kuishi ndani ya uwezo wenu. Maisha ya kuiga na kutaka kuonekana uko juu hayatakufikisha mbali, utaibomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe. Kubali hali uliyonayo kisha fanya kazi kwa bidii ili kuiboresha na kufikia ndoto zako. Acha kulazimisha na kumpa mumeo pressure zisizo na msingi.

Work hard my dear oja nyepes hizi
 
Back
Top Bottom