Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mkuu kama ni hivyo afadhari sasa ninaweza kupumua angalau kidogo. Bado mkuu sijakupata kidogo una maana gani wazazi wakiwa watu wazima? Mkuu bado ninakosa tena maana ya kusema kwa mtu ambaye si mke wala mchumba!! Jaribu kunyosha kidogo ili nipate kupumua zaidi!!
..samahani kwanza, wewe ni me au ke?

Ninachosema hapa ni kumhudumia mdada ambaye sina future nae, siwezi kufanya hivyo kwa vile ni matumizi mabaya ya fedha. Akiwa mchumba hapo sawa. Umenipata sasa??
 
miss chagga kwa nini hukujiita Miss Machame, Una sifa zote, Kwangu hata mia hupati, Zaidi ntakukomesha kitandani, Hivi nani kawaambia mwanaume ni Mobile ATM Machine? Igeni Kenya, Mwanamke anatafuta pesa, mapenzi kitandani, Eti oooh mnatengeneza movie, Kwan wewe ulijiunga Whatssap ili upike chapati? Tuma picha tuone miguu ya kimachame ilivyopinda, unaogopa nini kama una reception bomba?

#likikupata #linakuhusu
 
Last edited by a moderator:
sababu ya hayo ni:
1.unakuta mwanamke anaomba hela kila kukicha na sio chini ya laki hasemi anatumia nini....!!!!!!!
2.ni ukweli hali ya maisha ni ngumu ndo maana wengi tunawaacha wanetu kwa bibi zao!!!
3.kwenye 6*6 kama una kasoro ni vizuri nikuambie kuliko kukaa na kinyongo!!!
4.ukiona nimenuna ujue haufundishiki na nishampata mwenzio kimya kimya!!!:yo:
 
wapo wanaume wenzio humu wanatoa hizo huduma kwa watoto wao. Sababu ziko nyingi sana za mama kumuacha mwanae mdogo. Wengi wenye mtazamo wako hupeleka watoto kwa dada zao au mama zao wawalelee watoto mama zao wakiwaacha.

Umenikumbusha mtoto wa boksi. Mungu atuafu na hayo. Naangalia mtoto asieweza kujieleza/kuashiria. Ispokuwa tu ni dharura, baba hatakiwi kubaki nae. Wala si mfumo dume. Ni bailojia tu mamaangu. Wababa wameharibu sana watoto kisa wamama siku hizi kung'ang'ania haki sawa hadi kwenye yaliyo ya msingi. Huzuni!!
 
Ahhhaaaa there you are my girl here I think the vice-versa principle is applicable hata nyinyi mtu akiwa busy na kazi kwaa ajili ya kutafuta hizo pesa za matibabu na saloon simu isipopokelewe kosa mnanuuuuna ka akat hata nyinyi mnamishahara mizuri tu.sikuizi hatuoi ila tunafunga ndoa. full 70% ya pesa natoa baba na 30% unatakiwa uchangie mama khaaaaa mtatuuua nyinyi
 
sababu ya hayo ni:
1.unakuta mwanamke anaomba hela kila kukicha na sio chini ya laki hasemi anatumia nini....!!!!!!!
2.ni ukweli hali ya maisha ni ngumu ndo maana wengi tunawaacha wanetu kwa bibi zao!!!
3.kwenye 6*6 kama una kasoro ni vizuri nikuambie kuliko kukaa na kinyongo!!!
4.ukiona nimenuna ujue haufundishiki na nishampata mwenzio kimya kimya!!!:yo:

hahahahah mwanamke mwenye uelewa na anaye mfahamu mume wake vizuri akiona amenuna wala hakasiriki. Ukiona mwanamke analalamika sana uje kwanza ana matatizo na pili yeye ndiyo kabadilika.wanasema ukiona mwenzi wako kabadilika usitafute mchawi kwanza jichunguze mwenyewe kwanza kama hujabadilika? Kuhusu wanawake kutumia hela kwa kificho hata muda mwingine haifahamiki wamefanyia nini limekuwa linazidi sana siku hizi. hata muda mwingine hicho alichofanyia siyo hicho anachokuambia. mwanaume akishajua tu hilo mwanamke hatapata hela yake. Wanaolalamika sana wengi wao wameolewa au kuingia kwenye mahusiano kwa ajili ya maslahi na pindi wanapoona maslahi yao hayatimilizwi ndiyo wanaishia kulalamika tu.
 
ndo nini kuni -cc? sidanganyiki. Em nitimue mimi. Mmachame mimi kusutwa sijawahi na sitaki. We baki nao hao hao mi ngoja niendelee na safari. Na uwafowadie hii wajue kabisa kuwa nimefuta kauli yangu mheshimiwa. Kwah!

Hakyamama karibu NANDERA tule biya huku tunasubiri mechi tufahamiane vizuri
 
Last edited by a moderator:
..samahani kwanza, wewe ni me au ke?

Ninachosema hapa ni kumhudumia mdada ambaye sina future nae, siwezi kufanya hivyo kwa vile ni matumizi mabaya ya fedha. Akiwa mchumba hapo sawa. Umenipata sasa??

Pole mkuu Eli79 hii hoja always ni polarising
 
Last edited by a moderator:
..samahani kwanza, wewe ni me au ke?

Ninachosema hapa ni kumhudumia mdada ambaye sina future nae, siwezi kufanya hivyo kwa vile ni matumizi mabaya ya fedha. Akiwa mchumba hapo sawa. Umenipata sasa??

Umegeuza maneno....mwanzo ulisema huwezi kumuhudumia mwanamke asiye mke wako...kwan hapa tunaongelea wanaume tunaokutana nao barabarani?
 
Back
Top Bottom