Mambo Vipi????????Heri ya Mwaka Mpyaaaaaaaaaaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo Vipi????????Heri ya Mwaka Mpyaaaaaaaaaaaaaaaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kokudo, Feb 4, 2012.

 1. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Poleni na majukumu ya kulisukuma hili gurudumu la MMU hope ni siku kibao hatuonani but niko pamoja na nyinyi kimawazo japo sionekani humu napenda kuwaeleza nawapenda ninyi nyoote pamoja sana
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ulipotelea wapi kwanza?

  karibu tena!
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,068
  Likes Received: 6,528
  Trophy Points: 280
  za huko umetuletea nn. karibu mkuu.
   
 4. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Jamani maisha yananipeleka puta dat why sionekani humu but hope mnaniwakilisha vyema
   
 5. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu huku hakuna jipya jua tu kama kawa
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Tupe majibu basi Koku.

  Ulikuwa wapi? Ulijificha/chwa???

  Babu DC!!
   
Loading...