Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

Kwani lazima aende huko ili apate mzungu si angetumia hiyo $7000 kwenye mazingira halisia angeenda Massachusetts, USA huko wazungu Wengi tuu wanapenda Black chicks, yani asingekosa hata

[emoji419]Hio Strategy ni nzuri hata JF wanawez kuitumia kukuza mtandao wao Au pengine inatumika humu tayari nobody knows [emoji5][emoji3]
Au angeenda Italia Wazungu kule wanapenda black women
 
Hivi Mimi nauliza Ukiondoa hayo ma Facebook Pages, Hivi hapa TZ hatuna Solid Dating Platform? Yaani nazingumzia platform ambayo ni uhakika, Maana kama hatuna mimi naona hii ni Nafasi ya Bishara, Hebu changia hapo chini kama Kuna Huduma zozote za Kudeti ambazo unazifahamu matandaoni, labda mimi sizijui, nakumbuka miaka mingi iliyopita marafiki ....com iliwahi kuwa ikitumika lakini watu wengi walilalamikia kuwa in WANIGERIA WENGI ( SCAMMERS ) .

Nadhani hili litawasaidia wengi, kama hii huduma hakuna, am telling you kuwa hii ni nafasi ya biashara kwa mtu kufungua Dating Site ya Uhakika kwa Watanzania.
 
Kuna kabinti ka sisteri wangu..kembamba hivi karefu kana miaka 12..kanamawambiaga mdogo wake .. mdogo Ni mnene..eti wewe futuka tu uolewe na waafrika wenzio..Mimi Nina ndoto ya kuolewa na mzungu shauri yako..😂😂
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom