Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

Ukikosa Mwanaume au Mwanamke sehemu unayoishi ( mtaa,Kata, Mkoa), Shule za upili na Shule za Juu za Upili, FDCs, VETA, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu, online platform za Kitanzania hata huko unakokwenda kwenye Platform za kulipia nako utakosa vilevile!
 
Kabisa Mkuu..! Hivi kwani mzungu anamshedede wa aina yake au rangi ndio kinamvuta hasa ??
Ubaya wanawapenda wazungu then unakuta hata kitandani havikishwi kileleni. Sas mzungu wa kazi gan hapo c bora mwafrik mwenzio ambaye ana guu la mtoto hata mkikutana mechi gal unajifeel kweli hap nipo kweny mechi zito
 
hizo gharama anazolala room za dollar 35000 kwa siku analipia na mavi au
Kenge wewe unadhani dola 35,000 ni matako kila mtu anayo ...


Huko Zanzibar hao watalii wengi wanajazana vi cottage vya 30,000 - 150,000 hiyo dola 35,000 labda ni watalii wanaokujaga kulala kwa mama yako.


Zezeta weyeeee
 
Kuna siku nilikuwa nachat na mdada flani mwenye pesa zake, lakini ana ndoto za kuolewa na mzungu. Hivyo anatumia muda mwingi kwenye online dating platforms akitafuta bwana wa kizungu. Katika kuzungumza akawa amenitajia mtandao flani ambapo kila msg unayotuma inalipiwa. Akaniambia kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu mwezi wa saba ameshatumia $7000 kulipia hiyo huduma. Nilishtushwa sana inawezekanaje mtu kutumia pesa hiyo yote. Na mbaya zaidi pesa nyingi kazitumia kwa mtu mmoja tu ambaye anaonyesha interest ya kama wako karibu

Nikamuuliza kama washakuwa karibu kwanini wasipeane njia nyingine za kuwasiliana kama email, au whatsapp number ili wawe wanawasiliana bila kutumia pesa. Akasema yeye alimpa namba yake, na email ila jamaa hajawahi kumtumia any msg whatsapp wala kwenye email hivyo akitaka kuwasiliana naye mpaka aende kwenye huo mtandao. Nilianza kuhisi kuna jambo haliko sawa na nikahisi huenda jamaa hamtaki huyo dada huwa anachat naye tu.

Juzi juzi hapa ndipo nilikuja kupata jibu la swali langu. Mimi muda mwingi nakuwa online nafanya shughuli za freelancing as my full time job, sasa juzi juzi nikaona kuwa jamaa anatafuta watu wa kumanage customer support online services. Kumcheki, akaniambia nimchek whatsapp akanipa namba nikamcheck whatsapp akanipa link ya skype, kuiclick ikanipeleka kwenye group flani la skype. Kufika mle nikakutana watu kibao na halikuanza leo yani kuna members wengi sana na shared documents nyingi sana na wanajadili kuhusu seminars ambazo washapata.

Mimi nikatumiwa document moja ili niisome. Nilipoisoma ndipo nikajua nini kinaendelea. Kwanza, kumbe ni kazi ya kuchat na watu wanaotafuta wapenzi, yani mtu akiingia kwenye ule mtandao ataona profile ambayo itakuwa na picha fake na kila kitu fake atakuchagua mtaanza chat, na ni kwamba leo anaweza chat na mimi kesho akachat na mwingine akidhani ni same person. Na kwa wakati mmoja mtu anaweza kuwa anachat na watu zaidi ya watu wakiwa wao wanadhani wana chat na mtu mmoja au watu tofauti.

Kuna jinsi ya kuhandle unafundishwa, lugha utakayotumia na huruhisiwi kuwa unatuma sentence zinazofanana iwapo unachat na watu tofauti kwa wakati mmoja. Kitu kingine huruhusiwi kumfanya mtu aone kama umekubali kuwa mpenzi wake, au kupanga miadi ya kukutana, au kubadilishana namba au mawasiliano ya aina yoyote. Ikitokea akakupeleka huko au akakutumia mawasiliano we ignore anzisha topic nyingine.

Jambo lingine hakikisha mtu unamuuliza maswali ili umfanye asiondoke yani umfanye aendelee kuchat kwasababu kila msg anayotuma anakatwa pesa na wewe unalipwa kutokana umechatisha watu msg ngapi.

Kuna mengi hata document sikufika mwisho nikamwambia jamaa mimi siwezi kufanya kazi hiyo nikajitoa. Ila nikajua kumbe yule mdada alikutana na kitu cha namna hii. Ndiyo maana jamaa alikuwa hampi mawasiliano na alipompa ya kwake alikuwa ana ignore wala hata hashukuru kusema ameyaona.
Watu wengi hawaelewi kumbe wenzao wanafanya biashara, wanajua wanachat na wazungu kumbe na jamaa yuko Tandale anakunywa alkasusu na juisi ya miwa
 
Anatafuta mzungu yuko addicted na chating... Sina ushahidi juu ya hilo kama ametumia kiasi hicho cha pesa lakini that is what she told me. Na alikuwa anasifia huo mtandao kuwa ni mzuri ila ni expensive kwa kuwa kila msg unayotuma inakucost 0.05$
Kwa kiasi hicho dada alituma jumla ya msg 140,000.. msg laki na arubaini!
 
Nasikiaga kuna Jukwaa la wakubwa, lakini toka nijiunge JF nina miaka karibia 5 (My very first JF account) nilisahaugu password nikafungua nyingine tena yaani sijawahi pata fursa kuliona hilo jamvi. Sasa sijui ipo au ni maneno tu ya uongo
Nliomba wanitoe haraka
 
Hii mbona kawaida sana ukiingia mtandao wanakuambi lipia kwanza ujue hao wanakusanya pesa kwa sms tu hamna insue hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom