The end product ya kulaniwa ni nini hasa, haya uliyasema hayana mantiki.Maana Wanasiasa na matajiri wengi duniani ni wadhulumaji mbona wapo na wanaheshimika duniani.1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima





Namba 6 hio.1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima

na watu wa upinde😂Wenye nmba #1 yao hawawez kukomenti hapa.
ukimuoa kidin laana huishaNamba 2 usipojua?
hawana nafsi wale, wengine walisha kufa siku nyingi yamebaki majini tuThe end product ya kulaniwa ni nini hasa, haya uliyasema hayana mantiki.Maana Wanasiasa na matajiri wengi duniani ni wadhulumaji mbona wapo na wanaheshimika duniani.
Baada ya ujio wa yesu lucifer hana kituDunia yenyewe imelaaniwa kabla kiumbe kinachoitwa bainadamu hajaja.
Shetani mwenyewe haya ndio makazi yake
Na ndio mfalme wa Dunia.
Wewe nani upingane nae
N.B Omba Mungu tu ila mambo ya hovyo ndio Wanadamu wanapenda![]()
Kaz ya mwanamke mapaya. ni kumtia majis mwanaume, ii uzao wake mpaka wa 4 uwe wa kuzimHamna lolote zaidi ya kufanya maisha kua magumu tu