Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

Out of his country for 20 days!
shakebutt.gif
 
sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.

izo sera ndg yangu zimebaki kwenye makaratasi tuu ndio mana unaona hatueleweki kama ni wajamaa au wabepari. Sisi sera yetu ni unafki, wizi na choyo ndio nchi ina kila kitu lakini hatuendelei
 
Hivi kwa nini tusirudi kujipendekeza kwa wajerumani? Wale ndio wanatujua vizuri na wana misimamo ya kueleweka. Angalia jinsi anavowabuluza kwenye EU mpka mwingereza anataka kujitoa
 
Hivi kwa nini tusirudi kujipendekeza kwa wajerumani? Wale ndio wanatujua vizuri na wana misimamo ya kueleweka. Angalia jinsi anavowabuluza kwenye EU mpka mwingereza anataka kujitoa

mkuu wajerumani hawapendi unafiki kabisa so hatutawezana nao, sifa ya viongozi wa Tanzania ni unafiki na wizi
 
sisi sera yetu ni kutofungamana na upande wowote kwahiyo kama marekani akiona nguo imebana aivue asepe mapema kabisa sisi hatuchaguliwi rafiki.
aaahh wapi mwl.nyerere pekee ndio aliweza kusimamia hayo.
Kwa mfano.
Alipowapiga chini west germany na israel bila kujali.
Sio hawa wa kujikomba na kujichekesha.hawawezi.i swear
 
kama hupendi sawa but ndo habari nyeti zilizotufikia.


Marekani wamemwambia profesa kuwa ni wakati sasa inabidi aamue kama ni east au west. Hii ni baada ya Russia kuonyesha nia ya kuanza uhusiano wa kiuchumi na Tanzania,nia ambayo inafuatiwa na ujio wa rais wa Russia kama prof hatakataa.
Waziri wa fedha wa marekani mbali na
mambo mengine alileta ujumbe mahususi kwa la profeseri kuwa mahusiano yoyote na Russia katika kipindi hiki cha cold war reborn, ni nia ya moja kwa moja ya kupinga vikwazo (sanction) mbalimbali vilivyowekwa kwa Russia na jumuiya ya kimataifa.


Ikumbukwe USA walichukizwa sana na ile mikataba 16 kati ya profesa na CHINA na wakalichukulia kama ni uchonganishi wa kiuchumi.

To worsen matters, shinikizo la uingereza kwa rafiki zao marekani kuhusu kujitoa katika misaada ya kibajeti limeshika kasi, moja ya mambo yaliyojadiliwa katika ujumbe huo mahususi ni ultimatum zilizotolewa na marekani kwa profesa kuhakikisha anashughulikia wezi wa escrow or else .

Inasemekana mambo si mazuri na ndugu zetu USA na hii inamfanya mkuu kufanya safari ya kiintelligensia USA ili apate muda wa kutosha kurekebisha mambo

Note: Tetesi hiinimepenyezewa na mmagogoni mmoja baada ya kumuhoji kuhusu taarifa ya safari ya mkuu ya 20 days
Sasa hili noma ni sooo!!!!!
Sasa safari ya marekani tena , kunani?
 
mbona tumesikia anataka kwenda marekani anafata nini huko?nani alimwalika tena si juzi tu katoka huko?halafu tumemwona ameweka ramani ya Tanzania chini wanaiangalia yeye na msanii mwenzake wa kichina,sasa walikuwa wanaangalia nini?au kuna kijiji wachina wanataka kununua?
 
Wachina waliomtunuku upropesa WANATOSHA. wana pesa nyingi kwa hivyo hapana matata - ni kujinafasi kwa kwenda mbele. Hongera Propesa Jakaya Kikwete.
Na baada ya kutunukiwa upropesa juzi katoa ya moyoni mwake kuhusu uhuni aliofanyiwa Mzee Warioba kwamba "Naamini Katiba inayopendekezwa itapitishwa, nina matumaini hayo. Nadhani na mimi nitakavyokuwa napiga kampeni hayatatokea yale ya jana, maana mie sioni haya kuipigia kampeni kama wale wenzetu ambao wanataka isipite". (source: Mwananchi Nov 4, 2014)
Kamaliza mkuu wa nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Kwa nini Wachina wasimpe upropesa???

6: "yaliyompata Warioba amejitakia mwenyewe"
 
mmmmh! utarudije mpwa maana hata mimi msomaji tu nimeshtuka

Sorry but nilitaka niweke record vizuri hata mimi nilipata shida sana kuandika hilo tusi maana sijawahi kumtusi mtu ila sikua na jinsi. Anajaribu kuvuruga mjadala but tuendelee kwanza
 
Hii ni kweli kabisa. But stupidity is not an offence. Kwa chaguo lenu la kisiasa, Watz (mliompigia Le Professori kura 2005/10) ni ------ of the highest calibre.

Wamarekani wakikuchukia hawaishii kukutenga... they fuel wars and disorder. Na kwa chuki iliyopo sasa kati ya watawala matajiri na wazalendo masikini, Tz is a very vulnerable land.
 
.. kwahiyo magogoni ikae vizuri na WAJEDA au WAPINZANI maana wamerikani wakikasirika bwana huwa ni shida !!!
 
Sorry but nilitaka niweke record vizuri hata mimi nilipata shida sana kuandika hilo tusi maana sijawahi kumtusi mtu ila sikua na jinsi. Anajaribu kuvuruga mjadala but tuendelee kwanza

usjali mpwa, fanya yanayokuhusu usipotezwe na asiyejielewa
 
Back
Top Bottom