Mwenyewe nilichanjwa day one kabisahongera mkuu, ngoja tuone misukule ya kawe itakaa na msimamo mpaka lini
Kwa sababu za kiusalama sitaitaja wilayaVituo vingi vya chanjo hata jana vilikuwa wazi mkuu, hiyo sijui ni wilaya gani?
Wilaya moja inavituo zaidi ya 10 hata ukitaja Wilaya bila jina la kituo siyo mbaya hakuna nenoKwa sababu za kiusalama sitaitaja wilaya
Jambo kubwa ni "uliyaona niliyoyaona?"Wilaya moja inavituo zaidi ya 10 hata ukitaja Wilaya bila jina la kituo siyo mbaya hakuna neno
SawaJambo kubwa ni "uliyaona niliyoyaona?"
haha Askofu kibwetere anawafyeka wote wale.hongera mkuu, ngoja tuone misukule ya kawe itakaa na msimamo mpaka lini
... kama kuna mtu anamwangalia Jokate atakuwa na matatizo kichwani. Nani ajuaye afya yake zaidi yake na dr wake? Inawezekana yumo kundi maalumu sijui kwanini watanzania ni wazito sana kuelewa....
Pamoja na kueleza kuwa nilikuwa na booking online lakini hiyo haikuwa na uzito ila nilipewa fomu ya kujaza....
- Mtumishi alikuwa mmoja huku akifanya kazi ya usajili na kuchanja na kuna wakati alizidiwa.
- Makundi maalum ya watu walioainishwa katika awamu hii hayajawa wazi sana kwani nimeshuhuida mtu wa umri chini ya 40 na ambaye hana ugonjwa wowote akiomba achanjwe (Picha za Jokate zimevuruga mambo)
- ...
... mkuu nenda kachanje; afya ni yako! Ukiyasikiliza hayo mataahira yasiyojua hata "test tube" inafananaje utapotea.hongera mkuu, ngoja tuone misukule ya kawe itakaa na msimamo mpaka lini
Misukule ya Kawe itajabadilika na kuchanjwa. Lakini itabadilika siku huyo aliyewafuga atakapowapa ruksa.hongera mkuu, ngoja tuone misukule ya kawe itakaa na msimamo mpaka lini
Bwahahaha......panya wa majaribio waanze kumwaga data humu, kumbe wamefika wengi hivyo ndo maana naanza kuona kuna post ni chenga tupu.....Hatimaye tumeongeza zombie mwingine... Juzi mazombie yalikuwa 105,750
Leo ni 105,751🤣🤣
Ukipata cheti bila kuchanja ndiyo ujanja? Unamdanganya nani?Nyie chanjeni, sisi tuliogoma kuchanja tutashapata hivyo vyeti ambavyo nyie hamjapewa...