Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Ukisheza na uchumi kuogelea mpaka mwisho wa bwawa ni vigumu mno
 
Kakwambia kachoka hadi apumzike? Hebu anza kwa kupumzika kwa kile unachokifanya wewe ili tuone kama anamaanisha. By the way, umeshafanikisha plan zako, au unamshauri na kumuona Rais kama anayetupoteza huku wewe ukiwa hujatimiza uliyojipangia au hata kupangiwa(kama umeajiriwa)?.
Siyo mpaka aseme.

Mashabiki wanamzomea.
 
Mbona warusi walimhofia Sana dictator Stalin lakini Leo wanamuenzi kwa kuwaletea maendeleo!
 
Kinachomferisha jpm ni kiburi,vitisho ambavyo vinamtengenezea maadui wanaoshiriki kumhujumu.Pia jpm anaaproach ambayo haioni mbali mfano anaachia watu wenye capital zao kusumbuliwa hapa nchini kwa kodi na penalt,kutekana akiamini raia wa chini hata dhurika kwa kumtikisa tajiri matokeo yake watu wanapunguzwa kazini na mwisho wa siku chuki zinarudi kwake.
Jpm kashatambulika kuwa ni mkali na hataki mchezo ila kuna haja ya kujitafakari wapi anakosea ili kunusuru nchi.
 
Amevuruga wanyonge hasa wakulima na wafanyakazi

Wakulima wa Mahindi - Marufuku kuuza mahindi nje 2017

Sukari bei kupanda 2016

Korosho 2019

Wafanyakazi Mafao 2019
 
Mbona unaongea lugha changanya kama jiwe, maana nae haelewekabi kama ulichokiandika hapa.
Kakwambia kachoka hadi apumzike? Hebu anza kwa kupumzika kwa kile unachokifanya wewe ili tuone kama anamaanisha. By the way, umeshafanikisha plan zako, au unamshauri na kumuona Rais kama anayetupoteza huku wewe ukiwa hujatimiza uliyojipangia au hata kupangiwa(kama umeajiriwa)?.
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.

##NOT FIT FOR OUR COUNTRY,WE WANT HIM OUT OF OFFICE###
 
Bongo kuna wafanyabiadhara au kuna madalali Wa biashara....jiandae kisaikolojia Mkuu JPM ni mpaka 2025
Kwa hiyo unakubaliana na Prof. Muhongo kwamba Bongo kuna matajiri wenye mitaji ya kuuza juice tu sio kuwekeza kwenye mafuta na gesi!
 
Kaka, mambo yamekuwa magumu mno kwake. Huoni anavyopata tabu na mambo yanaharibika kila upande?

Mbaya zaidi Serikali yake inapata hati chafu kuanzia kwa ukaguzi wa hesabu za ndani mpaka analysis za uchumi kimataifa kutoka kwa taasisi nyeti kama IMF.

Weka yote hayo pembeni. Mtaani hali ikoje?

Me namuamini sana Dokta pengine zaidi yako. Na bado sibadilishi maneno kwamba amejaribu kutekeleza dhamira yake kwa kiasi kikubwa na dhati kabisa, lakini truth be told - amechemka. Hesabu zimekataa!
Mkuu nilipata kuandika "awaangalie vema mafisi waliomzunguuka" wanampamba na kumsifia huku wakitekeleza ufisadi wao lakini pia wakimkwamisha kwa maslahi yao huku wakimtengenezea chuki na wananchi
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Kwa aliyekutuma nenda kachukuwe mlichoahidiana.

Kwa magufuli tunaye mpaka 2025.
Ahsante lakini #magufuli 2025!
 
Mkuu nilipata kuandika "awaangalie vema mafisi waliomzunguuka" wanampamba na kumsifia huku wakitekeleza ufisadi wao lakini pia wakimkwamisha kwa maslahi yao huku wakimtengenezea chuki na wananchi
Malema wa South Africa ametoa ushauri mzuri sana kwa Rais Ramaphorsa kuhusu hili.

Nadhani msg yake ipo relevant kwa marais wengi duniani.
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.

Uamuzi wa kutogombea utakuwa wa kishujaa na kizalendo kuliko hata ule wa Nyerere kung'atuka. Ukiona wazee wakubwa wa nchi hii wamenyamaza kimya hivi ujue all is not well. Something is terribly wrong somewhere.
 
Back
Top Bottom