Mambo ni mazito sana kwa Dkt John Magufuli...

Fremu za kuuza nini zipo wazi?Hata siku hizi wauza mchicha tukitandika gagulo chini na kusambaza mchicha na bamia tunaiita fremu.Njoo maeneo yangu ya urafiki ndio uta-prove ninachokisema.Fremu ya dirisha,mlango,duka,kitanda,kiti,kistuli,meza au?
[emoji23][emoji23][emoji23]ndugu yangu kumuelewesha chizi unajipa kazi.

Watu tunatafuta hizo frem za bei rahisi kkoo hatuzioni, zinapanda tu kila mwaka.
 
Jpm pigaaaaaaaaaa kenge hawa wameanza kuelewaa.

Eti 2020 ukubali kumpisha mwingine, ili muendelee kula bila jasho[emoji3][emoji3]
 
Na hili ndio Tatizo letu kwa sasa. Na watawala washa zijua akili zetu
Tatizo mtu akileta wazo, tunatoka kwenye mada na hoja za kusaidia nchi..tunaendekeza vyama!
Pitty..kama vijana fikra zao ndio hizi, naionea huruma hii nchi!
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
hakuna kitu jomba hapa...watanzania.zaidi ya 90% tupo nyuma yake tuna m backup..hizi wogawoga hatuzi entertain..wenye.mawazo kama yako my friend wengi ni wale waathirika wa makinikia , vyeti fake, makontena hewa, wafanyakazi hewa, wakwepa kodi na wengi wengi...hili treni limeshika kasi haijalishi linaenda kuangukia wapi..kama wazungu wanatushawishi tumdanganye rais wetu atoke kwenye mstari, basi hapa wameshindwa..na tunazidi kumuombea rais afya njema tu ili hatimaye tufikie katika ndoto zake kuifikisha nchi hii uchumi wa kati..
unadhan kufikia uchumi wa kati ni lelemama.sio kabisa. no joke.. hatutarudi nyuma..
hivi unadhan nchi zilizoendelea zilifikia pale kwa ulaini laini..ni vita ya kiuchumi sio mchezo. naomba mawazo yako futilia kule tupa kule kwa shetani..tumeshamuomba na Allah, Mungu na tunaendelea kuombea mema nchi yetu mpaka na sisi tufike kama wenzetu walipofika..kwani sisi tuna kosa gani kwa Mungu..mbona wenzetu wamefika. kwani wao malaika..
 
Samahani mkuu eti sisi tuliokua wapiga dili comments zetu tunachanganya na wasiokua wapiga dili hapa hapa au?
hahaha wapiga dili piteni kule naona mnataka kututoa kwenye mstari..tren letu limeshakamata kasi jomba....subirini 2050
 
Namuamini sana Rais Magufuli na dhamira yake kwa nchi yetu. Naamini ndoto yake kubwa ni kuibadilisha nchi ili iweze kupiga hatua na kuheshimika. His vision is clear. Bahati nzuri ana uthubutu na sio mtu wa kubabaishwa na yeyote.

Lakini, bila shaka anacheza vibaya siasa zake. Mwenyewe anasema yeye siyo mwanasiasa lakini sio kweli. Huwezi kuongoza nchi usiwe mwanasiasa. Huwezi kuongoza chama cha siasa halafu usiwe mwanasiasa. Hizo ni political statements tu. After all, we are all political animals.

Amevuruga watu. Wafanyabiashara. Matajiri. Wahisani. Wanasiasa wenzie na wanahabari.

Pengine anajua kuna waovu humo humo na ana taarifa zao nyeti, lakini hao mpaka wamefikia hapo sio wajinga. Mtu mwenye pesa ana nguvu. Kumkabili kunahitaji akili zaidi kuliko kiburi hata kama uko sahihi. Hili ni funzo.

Kikwete alionekana mjinga aliposema mafisadi wakiguswa bila tahadhari nchi itatikisika. That was an ugly but very honest opinion. Tunayaona sasa. Shida siyo kupambana nao, bali unapambanaje?

Namshauri Dkt. Magufuli apaki kiburi chake. Asigombee tena 2020. Atafute wataalamu watakaochezesha vizuri maneno ili aonekene shujaa kwa uamuzi wa kuamua kupisha. Sio lazima aondoke kwa aibu. Tunajua kusamehe. Tutamsamehe na kumpongeza kwa kujaribu.

Vinginevyo, anaweza kuwa the worst president ever. Japo kwangu he remains the best - in faith.
Hapo mwishoni tukueleweje mkuu
 
hakuna kitu jomba hapa...watanzania.zaidi ya 90% tupo nyuma yake tuna m backup..hizi wogawoga hatuzi entertain..wenye.mawazo kama yako my friend wengi ni wale waathirika wa makinikia , vyeti fake, makontena hewa, wafanyakazi hewa, wakwepa kodi na wengi wengi...hili treni limeshika kasi haijalishi linaenda kuangukia wapi..kama wazungu wanatushawishi tumdanganye rais wetu atoke kwenye mstari, basi hapa wameshindwa..na tunazidi kumuombea rais afya njema tu ili hatimaye tufikie katika ndoto zake kuifikisha nchi hii uchumi wa kati..
unadhan kufikia uchumi wa kati ni lelemama.sio kabisa. no joke.. hatutarudi nyuma..
hivi unadhan nchi zilizoendelea zilifikia pale kwa ulaini laini..ni vita ya kiuchumi sio mchezo. naomba mawazo yako futilia kule tupa kule kwa shetani..tumeshamuomba na Allah, Mungu na tunaendelea kuombea mema nchi yetu mpaka na sisi tufike kama wenzetu walipofika..kwani sisi tuna kosa gani kwa Mungu..mbona wenzetu wamefika. kwani wao malaika..

Masikini, mafukara,wajinga, wenye roho mbaya mliokata tamaa tukose wote ndio mnaopendwa na ni mtaji wa chakavu.
 
hakuna kitu jomba hapa...watanzania.zaidi ya 90% tupo nyuma yake tuna m backup..hizi wogawoga hatuzi entertain..wenye.mawazo kama yako my friend wengi ni wale waathirika wa makinikia , vyeti fake, makontena hewa, wafanyakazi hewa, wakwepa kodi na wengi wengi...hili treni limeshika kasi haijalishi linaenda kuangukia wapi..kama wazungu wanatushawishi tumdanganye rais wetu atoke kwenye mstari, basi hapa wameshindwa..na tunazidi kumuombea rais afya njema tu ili hatimaye tufikie katika ndoto zake kuifikisha nchi hii uchumi wa kati..
unadhan kufikia uchumi wa kati ni lelemama.sio kabisa. no joke.. hatutarudi nyuma..
hivi unadhan nchi zilizoendelea zilifikia pale kwa ulaini laini..ni vita ya kiuchumi sio mchezo. naomba mawazo yako futilia kule tupa kule kwa shetani..tumeshamuomba na Allah, Mungu na tunaendelea kuombea mema nchi yetu mpaka na sisi tufike kama wenzetu walipofika..kwani sisi tuna kosa gani kwa Mungu..mbona wenzetu wamefika. kwani wao malaika..
Wacha weeee!
 
Bongo kuna wafanyabiadhara au kuna madalali Wa biashara....jiandae kisaikolojia Mkuu JPM ni mpaka 2025
 
hakuna kitu jomba hapa...watanzania.zaidi ya 90% tupo nyuma yake tuna m backup..hizi wogawoga hatuzi entertain..wenye.mawazo kama yako my friend wengi ni wale waathirika wa makinikia , vyeti fake, makontena hewa, wafanyakazi hewa, wakwepa kodi na wengi wengi...hili treni limeshika kasi haijalishi linaenda kuangukia wapi..kama wazungu wanatushawishi tumdanganye rais wetu atoke kwenye mstari, basi hapa wameshindwa..na tunazidi kumuombea rais afya njema tu ili hatimaye tufikie katika ndoto zake kuifikisha nchi hii uchumi wa kati..
unadhan kufikia uchumi wa kati ni lelemama.sio kabisa. no joke.. hatutarudi nyuma..
hivi unadhan nchi zilizoendelea zilifikia pale kwa ulaini laini..ni vita ya kiuchumi sio mchezo. naomba mawazo yako futilia kule tupa kule kwa shetani..tumeshamuomba na Allah, Mungu na tunaendelea kuombea mema nchi yetu mpaka na sisi tufike kama wenzetu walipofika..kwani sisi tuna kosa gani kwa Mungu..mbona wenzetu wamefika. kwani wao malaika..

Zaidi ya 90%!!! [emoji15][emoji15][emoji15].. labda nyumbani kwako
 
Back
Top Bottom