Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

chadema+ngumi.jpg

mfuasi wa chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa mbunge wa kigoma kaskazini, zitto kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika mahakama kuu, kanda ya dar es salaam jana. Picha na silvan kiwale

source; mwananchi 07012014
​

huu mtama unaitwa "big result now"
 
ZITTO NAJUA KABISA moyoni anajua kina mtela wanamuokotea wahunibkuonyesha wanamsapoti, sasa yeye inamsaidia nini !? Maana sijui anamdanganya nani !?
 
ZITTO NAJUA KABISA moyoni anajua kina mtela wanamuokotea wahunibkuonyesha wanamsapoti, sasa yeye inamsaidia nini !? Maana sijui anamdanganya nani !?

kama hujui ni bora kuwa kimya, subiri wamalizane na kuua chama ndipo utajua nani alikuwa mpuuzi
 
chadema+ngumi.jpg

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

source; Mwananchi 07012014
​

acha uongo hapa tulikuwa tunarekodi movie yetu mpya inaitwa yolanda.
unafikiri kudanganya watu unapata faida gani?
 
Mkuu Kabanga, mitama kama hii ni kufaidi?
eh! wengine tunapenda kupigana sasa huku hakuna mambo hayo, ndio maana nyie wa mjini mnafaidi kupigana na virungu mabomu ya machozi, wenyewe kimya kwenye magari ya tinted makubwa makubwa.....
 
Najaribu kufikiria mzozo wa hao waliokatana mtama kabla ya tukio sijui ulikuwaje....Anatoka CDM mwaka huu....Nasema hivi..hatokiii...watatoka woote watamwacha...Anatoka....hatoki.....kutahamaki, chini....ulimi ushalamba mchanga...

Ila watu wengine kweli sijui wanajitoa ufahamu, laiti huyo aliyembwaga mwenzie chini angekuwa amemkata mtama aliyeongeza bei ya umeme na gesi....angekuwa shujaa wangu wa 2014...
 
Back
Top Bottom