Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

chadema+ngumi.jpg

mfuasi wa chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa mbunge wa kigoma kaskazini, zitto kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika mahakama kuu, kanda ya dar es salaam jana. Picha na silvan kiwale

source; mwananchi 07012014
​
bundesliga hii inaitwa
 
unnamed+%284%29.jpg

mtama mwingine huo................
 
chadema+ngumi.jpg

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama' na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

source; Mwananchi 07012014
​
mi sipendi kushabikia ugomvi but jamani huu mtama umekwenda Shule..
 
Back
Top Bottom