Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

images

CCM hawajui kulenga/shabaha ya mtama
 
!
!
tukong'otane kwanza kama siku saba hivi mfululizo ili tuweze kuheshimiana bana...agrrrrrrrrrrrrrrrrr. Kila mahali Zittooooo Zittooo ah mie binafsi nimeshachoka wamfukuze tu yaishe bana aaaagh
 
inafurahisha kuona vyama viwili maarufu sana na vyenye washabiki wengi sana hapa nchini vikipimana ubavu kwa njia ya nguvu ya hoja

CCM Vs CHADEMA
 
Naunga mkono hoja tuwe na serikali tatu lakini chama kimoja tu
 
Ngoja tuone leo itakuwaje
 
chadema+ngumi.jpg

mfuasi wa chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama' na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa mbunge wa kigoma kaskazini, zitto kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika mahakama kuu, kanda ya dar es salaam jana. Picha na silvan kiwale

source; mwananchi 07012014
​
hadi wauza unga wameletwa mahakamani kumshabikia zzk!!!??
 
Back
Top Bottom