Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

chadema+ngumi.jpg

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

source; Mwananchi 07012014
​

kama ni wafuasi wa Zitto ndio wanapiga mitama za namna hii atakua ameniongezea kazi ya kufikiri zaidi na sio ajabu ni watu waliopewa mafunzo maalum ya kivita. kwa upigaji teke wa namna hii mpigaji yuko huru coz amepiga kiufundi sana .
 
!
!
Huyu jamaa atakuwa fundi mitama tu duh. Hhahahahahahaha hapana bwana, jamaa akiinuka mbio zake hahahaha
hii picha inajieleza maana jamaa kama anaogelea hahahahahahahaha
Duh!kuna watu wanapiga mitama balaaaa hahahahahahahaha



chadema+ngumi.jpg

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

source; Mwananchi 07012014
​
 
!
!
huyu jamaa ni fundi mitama bwana haiwezekani, huo ulikuwa kimo cha mbuzi
Sipati picha alivyoinuka walimkuta wapi




kama ni wafuasi wa Zitto ndio wanapiga mitama za namna hii atakua ameniongezea kazi ya kufikiri zaidi na sio ajabu ni watu waliopewa mafunzo maalum ya kivita. kwa upigaji teke wa namna hii mpigaji yuko huru coz amepiga kiufundi sana .
 
Wafuasi wa vyama hivi viwili wamepigana leo shule ya msingi chamwino Morogoro. Chanzo ni kuwa wafuasi wa CCM waliunga mkono wananchi watoe tshs 50,000 ili kuandikisha watoto wa darasa la kwanza nje ya ,michango mingine lukuki huku wafuasi wa CHADEMA wakipinga hatua hiyo ya kutoa kiwango hicho cha fedha wakisema ni ufisadi wa serikali ya CCM.Source Mimi mwenyewe-JF
 
Kwa jinsi alivyoweka mikono ni kujikinga na uso na maandalizi ya kutimua akiamka hapo
!
!
Huyu jamaa atakuwa fundi mitama tu duh. Hhahahahahahaha hapana bwana, jamaa akiinuka mbio zake hahahaha
hii picha inajieleza maana jamaa kama anaogelea hahahahahahahaha
duh!kuna watu wanapiga mitama balaaaa hahahahahahahaha
 
sidhani kama kweli wanakipenda chama,zitto kama chama kina ukabila udini ukanda kwanini usikihame kaa ukijua watu wanaufikiri tofauti na uliouzoea hatudanganyiki kiurahisi kiasi hicho we ni muaribifu na unampango wa kuivuruga chadema
 
chadema+ngumi.jpg

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana baada ya kuahirishwa kwa hukumu ya kesi ya mbunge huyo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

source; Mwananchi 07012014
​

SIPATI PICHA mara baada ya kuamka huyo jamaa wa chini..... what happened !!!! .....SiAsA(SIO HASA) NI MCHEZO MCHAFU
 
Back
Top Bottom