Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 752
- 182
Haya mambo matatu ya Gadaffi ambayo aliyatoa kwa viongozi wa Afrika yatanifanya nimkumbuke daima ingawa watu wengi wanamuona kama Dikteta:-
1. Nchi za Kiafrika zikatae kulipa madeni zinayodaiwa na nchi za Magharibi kwa sababu westerns waliiba mali asili ya Afrika;
2. Afrika tuwe na setillite yetu ya mawasiliano ili kuondokana na propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi [Wachina walifanikiwa hili kwa kupiga marufuku vyombo vya habari vya magharibi. hivi sasa wanakula matunda ya mkakati wao]
3. Gadaffi alipendekeza Afrika iungane ili tuwe na sauti moja itakayotuwezesha kujilinda. [Libya wana mafuta gas na maliasili nyingine kiasi kwamba hawahitaji msaada wa nchi yeyote ya Kiafrika. Lakini wakapendekeza tuchangie hayo yote.
4................
5...............
Kama kuna mwingine mwenya orodha ya mema au mabaya ya Gadaffi tafadhali endeleza hapo chini!