Babu,mambo ya serikali nayajua sana!..sio kuringa ila my whole life I was raised by protocol officers(nadhani unaelewa maana yake).Wanasiasa wa Tanzania ni wezi mno,kila upande na wananchi wa kawaida ni watoa na wapokeaji rushwa mno!Unajua Kobello ukiliangalia hili kwa mtazamo wa CCM vs CDM utakuwa hujalitendea haki. Suala hapa ni CCM inavyojaribu kurudisha mvuto kwa wananchi. Mtazamo wangu ni kwamba wamepoteza mvuto kwa sababu wana viongozi wabovu. Jukumu la kuhakikisha kuwa pesa nyingi zinaenda kwenye uzalisha na siyo ulaji ni la serikali na hivyo Kikwete anawajibika moja kwa moja. Au yeye aliwapa wabunge marupurupu makubwa ili wanyamaze au apate kisingizio? CCM wanatakiwa kutofautisha kati ya Campaigning na Governing. Ukishachaguliwa unaoondoka kutoka kwenye kukampeni na unaenda kugovern watu pamoja na resources.
Muulizeni huyo Slaa ni miswada mingapi yeye akiwa kama mbunge aliitolea shilingi na mingapi aliipigia kura ya ndio?.....It's so easy to know these people if you look at their voting records,something that most fanatics here don't have access to!...angalia watu walioupigia kura muswaada wa madini wa 1998 na walioukataa.tusipoteza muda cc yote pale ni ufisadi mtupu, tukumbuke list of shame ya dr slaa, hawa wezi wote.
....si dhambi ku-copy na ku-pest mambo mazuri ni ishara ya kuelimika!!!!
Ulitaka watoke KANUNinachokifahamu ni kwamba asilimia kubwa ya wanachama wa CDM wametoka CCM
Kwa vile ulikuwa raised na viongozi wezi unafikiri kila mtu ni mwizi.Babu,mambo ya serikali nayajua sana!..sio kuringa ila my whole life I was raised by protocol officers(nadhani unaelewa maana yake).Wanasiasa wa Tanzania ni wezi mno,kila upande na wananchi wa kawaida ni watoa na wapokeaji rushwa mno!
Kwa hiyo,hayo mambo ya kugovern unayoniambia hayana msingi kwao,hata wapinzani wakichukua nchi(Trust me,it's hard) hamna cha maana sana watachokifanya.Wakati nipo chuo kikuu tulikuwa tunasukuma gari la mrema kwa mikono yetu kwa kilomita karibu tatu....nikikumbuka sasa nacheka sana.
Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
Yes huu ni usanii na napenda waendelee na usanii huu kwa sababu unasaidia wananchi kuamka, mimi kwa maoni yangu kadri CCM wanavyoendeleza usanii ndivyo ukombozi unavyokaribia kinyume chake ukiona wako serious ndio ukombozi unavyokuwa mbali. Mfano wakimtosa RA au Makamba leo watawachanganya wananchi lakini wakiwaacha wananchi watakuwa na chaguo moja, kwa sababu Makamba na kampuni yake wanasaidia zaidi kambi ya upinzani kuliko wanavyoisaidia CCM.Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
<br />Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.