Haingii akilini kuwa kama wamevuliwa uongozi mwingine wa CCM kutoka nafasi nyingine kutokana na uzito wa tuhuma dhidi yao kwanini wanabakia kuwa Wabunge? Kwanini sababu zilizowafanya wavuliwe uongozi mwingine zisiwe sababu za kuwavua Ubunge kwa kuwavua uanachama?
Bado ina hold hiyo logic. Wakiwanyang'anya kadi basi wamewavua na ubunge wenyewe ila hao jamaa wakigombea na yoyote katika majimbo yao watashinda tu. Dawa unachukua kadi kisha unawatanguliza mahakamani wa makosa yasiyo na dhamana kama uhaini au uhujumu uchumi. Ingawa kimsingi itakuwa ni ujenzi wa Udikteta
Ni mwezi february tu RA ameikopesha dola pesa za kuwalipa civil servants kwani HAZINA ilikuwa nyeupeee, hayaniingii akilini kwa haya mabadiliko yanalenga nn hasa. Iwapo ni kweli constructive changes basi kuna mabomu yenye mitikisiko kulipuliwa na waliotolewa kafara.
Kwa uzoefu wetu wengine TUKIO lo lote lina after effect. Kwa mfano Tsunami ya Japan imefuatiliwa na mpasuko wa vinu vya nuklia etc. Kwa hili la maamuzi ya CCM tusubiri after effect wala tusiweke wishfull thinking; kitakachofuata kitatuweka baadhi yetu midomo wazi. Suala la msingi nchi na wananchi watanufaika na nini? Inawezekana kabisa ni mkakati maridhiwa wa kundi fulani ndani ya ccm kujiimarisha. Tujitayarishe kwa lo lote ikiwezekana tuanze kujipangia mikakati mbadala kukabiliana na yajayo.
Kiustarabu kama ni kwa manufaa ya nchi na wananchi tuunge mkono hata kwa hali tu.
Wala asisamehewe huyu na mwenzake Mamvi wao ndio wameiyumbisha nchi,ujitaka kuua nyani usimwangalie usoni,katufanye wote wajinga sasa ni muda wa JK kuonyesha mamlaka aliyonayo na tuone tena kama kutakuwa na EPA baada ya hao wawili kutosha,Rostamu kwa kishtaki Tanesco wakati anajua amefanya hila ni sawa na mtu kmhujuma ndugu yake na baadaye ambabikizie kesi,haiwezekani RA lazima atoswe,na tuone u DON wao,wanajitapa kuwa wao ni Omega na AlfaJK anaonekana kuwa na hasira tokana na kinachoendelea ndani ya chama, Rostam kaomba radhi kuwa endapo kuna sehemu kakosea basi wamsamehe
Mhhhh!
There are currently 617 users browsing this thread. (135 members and 482 guests)
Invisible na Mugumu, mjue mimi na watu wote hawa hatulali kusubiria taarifa zaidi za Dodoma.
Wenzangu tunaosubiria hapa ni hawa There are currently 608 users browsing this thread. (145 members and 463 guests)
Pasco fangfangjt bulunga mku sixgates kituro Mallaba wahanya muhosni Nazjaz Anfaal Dotori Sonara Froida matunge Jekyll+Hyde Kinyamana Bajabiri Ame EXECUTIVE Ndumbayeye kobello Mrdash1 koreshi Miya Mimibaba Keil kayumba Limbani Revolutionalist Liganga Quinine Mtembea_peku abracadabra Mwanatarime Ochu Godfrey R YE samirnasri Pena Kibanga Ampiga MKoloni Gbollin Mzee Mwanakijiji+ pendosaidi Bihigi niweze drgeorge Avatar Mike McKee EMT SLIDINGROOF Ng'wanza Madaso Gokona mchukiaufisadi Bornvilla macho_mdiliko Sigma shabaniMusa sem2708 Jibaba Bonge The Invincible MkuuMtarajiwa Leonard Akaro andrewk Kiby daughter Deodat Mbimbinho mgalisha Gurta UmkhontoweSizwe Plato Advocate Jasha Maishamapya mshikachuma Mwanajukwaa Mbaneingoma Zom Pumba Mwiko chiefmasanja Babuyao Taso Mbalinga Libaba MkamaP Malunde-Malundi mtemiwao Mtumiabusara masssaiboi Eqlypz Isekuu SaidAlly Siao Kaka deo Peasant Kaunga mwabaluhi MAWINO Jungumawe Lyangalo Kakalende Mpanzi Buswelu kapotolo Msenshe Oluoch Paddy mnwele PakavuNateleza mwanaharakat j rated Architect E.M abura90 Nyamgluu Mlengo wa Kati Wikiliki Mmongolilomo Fres kalechee Goldman Mgoyangi Yericko Kiwete LordJustice1 GJ Mwanakatwe Joss Dr wa ukweli Annony Ngereja whizkid Mujuni2 junior2008 teya Mwalimu Kenge (Eng) Geru Dr.Mbura emmathy Sn2139 guyton Tusker Bariiiidi Sabasaba Nemesis MtazamoWangu
Where's Field Marshall ES when you need him?!
watu wa arusha wana good politicians ambao wako very loyal, like Lema,sokoine,kirilo japhet,seth benjamin n.k but not people like lowasa,sumaye,slaa n.k those are just a joke!
Jamani eeh.. Greath THinkers... Naona mada imekuwa stori za kijiweni.. Kwanini tusijaribu ku-analyse sababu za JK kufanya hivi. Ndio tunafahamu kuwa alisema anatoa 'gamba' lakini je madhumuni hasilia ni nini...? Je nguvu ambayo upinzani umeipata na haswa CDM ndio umemtishia kupatwa na yale ya KANU? au ni mambo yaliyotokea bondeni kwa MADIBA hapo... ANC overthrow of Mbeki by ZUMA... Je Kikwete anarespond to Lowassa's attempts to take control of CCM's decision making bodies so that he could secure his presidential nomination 2015? Ama ni nini? Kwa hakika kesho majina mapya yatakapo pendekezwa ndipo nia na madhumuni yatajulikana.... Swali la kwanza ni je EL atarudi? tunajua kabisa RA ndio basi (at least in hatokuwepo jikoni directily), je wale wanaojiita wapiganaji kina Kilango, Mwakyembe n.k wataingia? je JK atawapoteza viongozi wengine waliochafuka kama Chenge (most likely in my opinion), na Je atataka kuwadhibiti wale ambao wako kambi ya Lowassa (makinda, et al.) na je wale wengine wanao imezea mate 2015 kama Samwel Sitta watatupiliwa choo cha shimo au ? Ingekuwa vizuri jukwaa la GREAT thinkers likawa mstari wa mbele kuchambua mambo haya kwakua yanatabiri hali ya nchi yetu katika siku za usoni itakuaje... tupunguze ushabiki na uchama katika haya... Nimejaribu kuangalia mawazo mbali mbali tuliyochangia humu nimeona yapo mawazo yamsingi lakini pia ushabiki mwingi (mara ccm wafe tuu..atakama wafe sawa vizuri labda, lakini tunaomba uchambuzi tafadhali...jukwaa hili lirudie hali yake ya miaka ya nyuma.) UCHAmbuzi MAKINI tafadhali jamani.
KK
Where's Field Marshall ES when you need him?!