n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,013
- 2,684
Wakuu,
Nipo maeneo ambayo huenda nikawapasha kidogo juu ya nini kinaendelea hapa, naweza kuwa natoweka online lakini nitawapa dondoo za kinachoendelea.
Wakuu hapa wanajadili nini kifanyike dhidi ya wanaokipaka matope chama, hapa namaanisha watuhumiwa wa ufisadi pamoja na mzee Makamba.
==============
UPDATES:
Wajumbe wapya wa NEC wa kuteuliwa na Mwenyekiti ni Nchimbi, Januari Makamba, Anna Abdallah, Ali Juma Shamhuna, Peter Kisumo, Wilson Mukama na Lameck Mwigulu.
Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Wilson Mukama, Naibu wake atakuwa ni John Chiligati, Fedha atakuwa ni Mwigulu, Nape atakuwa Uenezi, Mambo ya nje ni Januari Makamba.
Hussein Mwinyi, Mbarawa, Omar Yusuf, Seif Khatib, Samia, Maua Daftari, Meghji, Kinana, Lukuvi na Mwenyekiti wa Kagera wa CCM (Mama Buhie), Kigoda, Wassira na Pindi Chana - CC
ZAIDI:
Wajumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa wakipiga Kura Kuchagua Wajumbe Wa Kamati Kuu Ya CCM Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura wakati wa kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni makamu wa CCM bara Pius Msekwa na watatu kulia ni aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuf Rajab Makamba na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakipiga kura kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM wakati wa mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma leo jioni.
Mzee Kingunge akipiga kura yake katika uchaguzi huo
Baadhi ya wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM wakipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigella akipiga kura yake.Picha na Freddy Maro-IKULU

- Wakulu tupo pamoja sana, hali sio shwari Dodoma the dataz ni makundi ndani ya CCM yakirushiana mawe, lakini kundi lenye nguvu ya kushika Urais 2015 ndilo linaloelekea kushinda.
- Mafisadi time is up, wameshikwa pabaya sasa maana hawana pa kupitia tena Six holds the big key to the changes which are coming ndani ya CCM kutoka hiki kikao!
......Stay Tuned.....!
FMes! - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!