Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

.... Kwani Vipi Mkuu, Hawafai?
Kila siku tunawambia Chadema ina wenyewe angalia sasa umetoa mawazo yako unaitwa Fisi halafu wewe unamuita Mkuu..

teh teh tei
 
Mkuu,aina ya siasa za maji taka muda umepita
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka ww sio Muumini wala huamini ktk Mungu, unless uwe na Mungu wa kuchonga. Huwezi kuihusisha CDM na Mungu.

Ungekua na uwelewa wakibinadamu ungenielewa lakini kwakua niwakifisi ningumu kunielewa
 
Hakika mtoa mada utajuta kuwafahamu Bavicha!
 
Naomba kuuliza. Ni chama gani cha siasa kimewahi kushtakiana mahakamani kuhusu migogoro ya ndani. Nikijibiwa hili 🙄🙄🙄
NCCR Mageuzi, TLP, CUF. labda ulikuwa bado ujaanza kufuatilia siasa.
 
Kila siku tunawambia Chadema ina wenyewe angalia sasa umetoa mawazo yako unaitwa Fisi halafu wewe unamuita Mkuu..

teh teh tei

Kweli kinawe wenyewe ambao siyo viungaunga wa ccm

Chadema Kwanza
 
Ndugu,mimi ni raia wa kawaid tu na sina nafasi yoyote katika chama zaidi ya kuwa mpenzi/mshabiki wa chama hiki na ambae nimechoshwa na udhalimu wa muda mrefu wa CCM.

Ninatamani sana kuona mabadiliko na hicho ndio kinanisukumu kusema yote haya kwa lengo la kujenga na si kuharibu na mahala palipo rahisi kuyasema haya ni kupitia mitandao JF ikiwa ni mojawapo.

Katika yote niliyoyasema,hakuna kipya hapo ni mambo ambayo yanasemwa kila siku isipokuwa tu husemwa na wapinzani wetu.

Matatizo mengine tunajitakia wenyewe tu kwa kutoshauriana vizuri.
 
Hataaariiii sana hii kitu.
 
Popote Nchini tanzania kuna wakala au office ya chama hata unge google ungepata mawasiliano ya chama Hata ungetu pm tungekupa utaratibu wakuwasilisha Mawazo yako yangepokelewa na muhusika

Chadema Kwanza
 
Mbowe kuwa makini na tundu lissu anakimaliza chama kaanza na kitilya ' mwigamba ' zitto na sasa kahamia kwa halima mdee isije kuwa lissu katumwa kuwavuruga halafu anawaiya wenzake wasaliti
 
Hayo uliyoyasema mkuu wangu ndani ya Chadema hayawezekani.
 
Mbowe kuwa makini na tundu lissu anakimaliza chama kaanza na kitilya ' mwigamba ' zitto na sasa kahamia kwa halima mdee isije kuwa lissu katumwa kuwavuruga halafu anawaiya wenzake wasaliti

Kila chama kina mipango yake hatutapokea mawazo yanayoshabiana na ubongo wa fisi

Chadema Kwanza
 
Hapo kwenye red mkuu ulikuwa unamaanisha nini? Bob naye alikuwa Mchagga? Ila kwa propaganda za ccm inawezekana kusemwa hivyo na watu wakaamini? Hasa hasa hizi propaganda huwa zinaenezwa kwa watu wasiokuwa na elimu (ambao ndo mtaji wa maccm).
 
Asante sana kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…