Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,530
- 43,913
Kila siku tunawambia Chadema ina wenyewe angalia sasa umetoa mawazo yako unaitwa Fisi halafu wewe unamuita Mkuu...... Kwani Vipi Mkuu, Hawafai?
teh teh tei
Kila siku tunawambia Chadema ina wenyewe angalia sasa umetoa mawazo yako unaitwa Fisi halafu wewe unamuita Mkuu...... Kwani Vipi Mkuu, Hawafai?
Chadema nimpango wa Mungu ndio maana Machuya yanajipembua na mchele yenyewe
Chadema Kwanza
Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.
Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.
Yangu ni hayo tu.
Bila shaka ww sio Muumini wala huamini ktk Mungu, unless uwe na Mungu wa kuchonga. Huwezi kuihusisha CDM na Mungu.
NCCR Mageuzi, TLP, CUF. labda ulikuwa bado ujaanza kufuatilia siasa.Naomba kuuliza. Ni chama gani cha siasa kimewahi kushtakiana mahakamani kuhusu migogoro ya ndani. Nikijibiwa hili 🙄🙄🙄
Kila siku tunawambia Chadema ina wenyewe angalia sasa umetoa mawazo yako unaitwa Fisi halafu wewe unamuita Mkuu..
teh teh tei
Ndugu,mimi ni raia wa kawaid tu na sina nafasi yoyote katika chama zaidi ya kuwa mpenzi/mshabiki wa chama hiki na ambae nimechoshwa na udhalimu wa muda mrefu wa CCM.Mkuu salary slip,
Naungana nawe ktk hoja zako uko sahihi asilimia mia, ila napingana nawe namna ya uwasilishaji wa hoja zako!! CDM inao utaratibu wake MZURI wa namna ya kuwasilisha maoni na eneo husika, HAPA SIO MAHALI SAHIHI PA KUWASILISHA HOJA ZAKO!!
Salary Slip, nina uhakika uelewa wako ni mkubwa, utatafakari na kunielewa katikati ya mistari. Kwa ufupi hapa unatafta kejeri na vijembe visivyo na msingi!! Otherwise uniambie unayafanyia checkup mawazo yako ili ukayawasilishe!!
Mjadara mwema wakuu.
Hakika mtoa mada utajuta kuwafahamu Bavicha!
Inaonesha mmegundua makosa yenu....kali kuliko yote ni chama cha kidemokrasia kukataza kesi kupelekwa mahakamani.nawaza chadema wakipewa dola watafanya kazi vipi na mahakama? Ndipo mambo ya kunyongana na kutupana kwenye makorongo kwa maagizo ya kamati kuu yatakapo anza
Popote Nchini tanzania kuna wakala au office ya chama hata unge google ungepata mawasiliano ya chama Hata ungetu pm tungekupa utaratibu wakuwasilisha Mawazo yako yangepokelewa na muhusikaNdugu,mimi ni raia wa kawaid tu na sina nafasi yoyote katika chama zaidi ya kuwa mpenzi/mshabiki wa chama hiki na ambae nimechoshwa na udhalimu wa muda mrefu wa CCM.
Ninatamani sana kuona mabadiliko na hicho ndio kinanisukumu kusema yote haya kwa lengo la kujenga na si kuharibu na mahala palipo rahisi kuyasema haya ni kupitia mitandao JF ikiwa ni mojawapo.
Katika yote niliyoyasema,hakuna kipya hapo ni mambo ambayo yanasemwa kila siku isipokuwa tu husemwa na wapinzani wetu.
Matatizo mengine tunajitakia wenyewe tu kwa kutoshauriana vizuri.
Hataaariiii sana hii kitu.
Hayo uliyoyasema mkuu wangu ndani ya Chadema hayawezekani.Mbona salary slip kaliweka vizuri jambo hili, hajasema katiba ivunjwe. Amesema iangaliwe ili kuondoa huo unaoonekana ni ukakasi.
Hivi kusema kuwe na ukomo wa uongozi hasa uenyekiti ni dhambi? Kusema mtu aruhusiwe kwenda mahakamani kutafuta haki na hata akishindwa arudishwe kwa kuwa haki itakuwa imetendeka, basi hilo ni dhambi?
Kwamba makabila mengine nayo yapewe nafasi ndani ya chama, ni dhambi?
Mbowe kuwa makini na tundu lissu anakimaliza chama kaanza na kitilya ' mwigamba ' zitto na sasa kahamia kwa halima mdee isije kuwa lissu katumwa kuwavuruga halafu anawaiya wenzake wasaliti
Wewe Bavicha hauna cha maana unachoandika unaandika pumba tu.Ungekua na uwelewa wakibinadamu ungenielewa lakini kwakua niwakifisi ningumu kunielewa
Hapo kwenye red mkuu ulikuwa unamaanisha nini? Bob naye alikuwa Mchagga? Ila kwa propaganda za ccm inawezekana kusemwa hivyo na watu wakaamini? Hasa hasa hizi propaganda huwa zinaenezwa kwa watu wasiokuwa na elimu (ambao ndo mtaji wa maccm).Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
Mtu asie na uwezo wa ku-reason akitajiwa alianza Mtei akafuaya Bob Makani na sasa Mbowe wote wakiwa ni wachaga ni rahisi sana kuamini hizo propaganda.
Tusiotoe mwanya wa watu kutengeneza propaganda.
Hayo uliyoyasema mkuu wangu ndani ya Chadema hayawezekani.
Wewe Bavicha hauna cha maana unachoandika unaandika pumba tu.
Asante sana kamandaHapo kwenye red mkuu ulikuwa unamaanisha nini? Bob naye alikuwa Mchagga? Ila kwa propaganda za ccm inawezekana kusemwa hivyo na watu wakaamini? Hasa hasa hizi propaganda huwa zinaenezwa kwa watu wasiokuwa na elimu (ambao ndo mtaji wa maccm).