Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
...... Mwenyekiti Anaandaliwa Mnyika, Katibu Mkuu Salum Mwalimu
Mawazo ya Fisi yataendelezwa namafizi wenzio
...... Mwenyekiti Anaandaliwa Mnyika, Katibu Mkuu Salum Mwalimu
Mkuu salary slip,
Naungana nawe ktk hoja zako uko sahihi asilimia mia, ila napingana nawe namna ya uwasilishaji wa hoja zako!! CDM inao utaratibu wake MZURI wa namna ya kuwasilisha maoni na eneo husika, HAPA SIO MAHALI SAHIHI PA KUWASILISHA HOJA ZAKO!!
Salary Slip, nina uhakika uelewa wako ni mkubwa, utatafakari na kunielewa katikati ya mistari. Kwa ufupi hapa unatafta kejeri na vijembe visivyo na msingi!! Otherwise uniambie unayafanyia checkup mawazo yako ili ukayawasilishe!!
Mjadara mwema wakuu.
Kwa hapa Tanzania makabila yenye uwezo wa kuendesha vyama vya upinzani na kupata mafanikio ni haya Chagga,Meru,Iraq/Mbulu,Kyusa,Kurya basi.Wengine wote maneno tu.Chadema bado inajengwa sasa unataka wasaliti waje kuongoza Chadema?
Tayari wanaanza kutoka usingizini,ingawa wameshachelewa saana,wanafunga banda wakati Faradi keshatoka.Tatizo la hawa ndugu ni wabishi; hata ukweli wataukataa.
CDM ni NGO ya ukanda, ukabila na udini...! Sikipendi hichi ki~NGO cha Kimei na.Mbowe
Tayari wanaanza kutoka usingizini,ingawa wameshachelewa saana,wanafunga banda wakati Faradi keshatoka.
Tatizo la hawa ndugu ni wabishi; hata ukweli wataukataa.
Kwa mwenendo huo atabaki Sugu na Lema tu ambao wakikosa ubunge hawana kazi nyenginine ya kufanya. Kwa elimu zao bora kubaki kutawaliwa na kutumikishwa na Mbowe.Chadema nimpango wa Mungu ndio maana Machuya yanajipembua na mchele yenyewe
Chadema Kwanza
Hapo umetumia kichwa chako cha chini mkuu!!
Mawazo ya Fisi yataendelezwa namafizi wenzio
Tureje kwenye katiba Asante
Chadema Kwanza
Kwa mwenendo huo atabaki Sugu na Lema tu ambao wakikosa ubunge hawana kazi nyenginine ya kufanya. Kwa elimu zao bora kubaki kutawaliwa na kutumikishwa na Mbowe.
Asante Kamanda nilikusoma na ndivyo ilivyoMkuu, katiba iliyopo naiheshimu na inatakiwa kuheshimiwa!! Katiba hiyo hiyo imetoa mwongozo kwa mwanachama namna ya kuwasilisha maoni yake, hivyo kwa kuitambua KATIBA hii nikamshauri Salary Slip awasilishe maoni yake kwa mujibu wa KATIBA!!
Sikuwahi kufikiri mwanachadema anaweza kuathirika kwa propaganda zinazotengezwa mtaa wa Lumumba.
Mkuu Salary Slip hatuendi hivyo hata siku moja, Huwezi kucheza ngoma inayopigwa na mpizani wako na kufuatisha midundo yake na mirindimo yake huku ukipiga mruzi na macho umeyafumba huku ukidhani eti unapambana naye... Hakika utatumbukia shimoni..!!!
Hiyo unayodai tuifuate ni Demokrasia ya woga na ni ubaguzi wa waziwazi usio na kificho ambao katu sikudhani unaweza kukukumba mtu kama wewe.. Inashangaza kwa kweli..!!!!
Tambua mwisho wa Propaganda hii ndio mwanzo wa Propaganda nyingine.. Kamwe kwenye siasa propaganda si kitu cha kukikwepa kwa kufuata namna mpiga propaganda anavyoieneza (Umeamkia wapi leo mkuu?) Hapa ilipo Chadema imepigwa propaganda kadha wa kadha na za hatari kuliko hizo unazodai eti tuzitende ili kuepukana nazo...!!! Mpaka wapiga propaganda wenyewe ilifikia kipindi wakajiaminisha sasa Chadema INAKUFA..!! Naam walijiaminisha kwamba itakufa kabla ya mwaka 2013 lakini je iko wapi??
Chadema ilidaiwa ni chama cha kikristo (Propaganda hii imewaathiri sana cuf mpaka leo kuhusu Uislam) IKAPITA SALAMA..
Chadema ilidaiwa ni chama cha Ukanda wa kaskazini... IKAPITA. SALAMA...
Kama vile haitoshi Chadema ilidaiwa ni chama cha Kigaidi...IKAPITA SALAMA.....!!!!!
Kumbuka propaganda zote hizo kila zinapoibuliwa na wapigaji zinakuwa na matukio kadha wa kadha ya kuisindikiza ili iweze kukubaliwa na wasikilizaji (wananchi) kamwe haivumishwi hivi hivi. Watakudanganyaje kwamba hiki ni chama cha Kigaidi?? Naam hapo watawakamata viongozi kadahaa wa chama na kuwahusisha na matukio hayo... Hapa wenye akili fupi watakubaliana na wapigaji..!!
Kuna watu huwa wanadai chama hiki ni Mpango wa Mungu..... Naam si bure ni kutokana na kuluka vihunzi,Mashimo,Makorongo na kila aina ya Mitego. Na mpaka tunavyoongea hapa mimi na wewe na wewe kuja na Mada yako hii ni kwamba Chadema ndicho chama kinachoshika nafasi ya pili kwa kuwa na wenyeviti wengi wa Mitaa kuliko chama chochote hapa Tanzina...!!! (Na hii ni baada ya kuungana na vyama vingine vinavyounda UKAWA pamoja na uchakachuaji mkubwa tuliouona ktk uchaguzi huo)
Kwa maoni yangu mimi ningesema.....
HAPO ILIPOSHIKA (CHADEMA) KATU ISIACHIE IENDELEE KUKAZA ZAIDI.
BACK TANGANYIKA
Yule aliyesema Chadema kitakufa au ataenda Mstuni imekuaje?Mkuu,
Mnakumbuka Mlisema CUF Si chama cha Upinzani tena? Kisa kimeungana na CCM Zanzibar? Mnakumbuka mlichosema kwa Mbatia baada ya kupewa Ubunge na Raisi? How comes leo mnashirikiana na watu mnaosema ni CCM B?
Mnaotaka Nyadhifa CDM mtakiua chama kwa tamaa zenu za Madaraka. Pumbavu kabisa, Wingi wa wenyeviti maana yake nini? Hao wenyeviti wanafanya kazi gani kubwa zaidi ya kueneza Propaganda tuu?
Nyie wote mpo kwenye Transition period, Umaarufu wa Pafyum za kichina, Unanukia unapojipuliza ukitoka nje unanuka jasho.
Nakumbuka NCCR enzi za Mrema, Kisha Cuf, Leo Mpo nyie, kesho sijui atakiwepo nani????
Acheni ku invest kwenye Maneno na Propaganda, Watu wanataka waone Output ya kuchaguliwa kwenu.
Nilisema Tz hakuna chama Pinzani. Kwa sababu, viongozi wote wana behavour zinazofanana na chama Tawala. Wote wana kashfa za wizi, Matumizi mabaya ya madaraka, Wote ni Reactive na sio Pro active.. Wote ni waoga wa kukosolewa, wote ni Mamwinyi.. Wote waongo, wote tamaa zimewajaa.
Kwakifupi Siasa za hii Nchi zinachosha, nashindwa kuelewa kwann Wananchi bado wana amini vyama vya siasa vitawakomboa. Hakuna kitu...
Watu hulia na wananchi wanapotafuta Kura tuu, wakishapata Madaraka tunaanza kuona True Pictures...
Nasema tena. PUMBAVU KABISA.