Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

Kunawakati nilijiuliza, chadema inampango gani wa kiuongozi hapo baadae?

Maana huwezi ukawa unafanya timua timua Tu, bila kuangalia maslahi ya baadae, mfano,Mbowe Na Slaa wakizeeka, itakuwaje? Slaa Hana uwezo wa kushika hatamu ya vipindi viwili au vitatu maana amezeeka tayari, je chama ataachiwa Tundu Lisu peke yake?

Na hicho chama kitakuwaje, endapo Tundu mwenyewe ndio huyu wa kutekeleza sheria zisizo yekelezeka kwa maslahi yake?

Any way, cdm ukiwa Na mawazo tofauti utaitwa pro-CCM, Na ccm ikifa cjui watasingizia nn.

Mkuu hoja zako zinajadilika japo kwa sasa ni invalid, vuta subira tuitoe kwanza CCM na ukoo wake wa panya.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Haya mawazo uliyotoa kwa CDM utaonekana USALITI, pitia tu sredi yako utatambua kuwa kwa kutoa hayo mawazo watu hawakumbuki ulivyokuwa unasapoti CDM, umeshaanza kuitwa msaliti na wangejui true ID yako ilikuwa inafatia kufukuzwa kwenye chama.
Hapa Jamii Forum ndio sehemu husika yakuleta haya waliyoleta
 
Haya mambo tunayapuuza lakini ukweli ni kuwa yanatuathiri katika harakati za kuleta mageuzi nchi hii.

Hakuna propaganda nyingine zinazoweza kutusumbua zaidi ya hizi nilizotaja.

Tusiwe rigid badala yake tuwe flexible kama kweli tunataka kushika dola.

Kufanya mabadiliko hayo kuna ugumu gani?

Tambua kuwa wewe unaona hizi propaganda ni upuuzi kwasababu tu wewe ni muelewa ila u anasahau kuwa watu wote sio waelewa.

I hope pia unaishi maisha kwa kusikiza jamii inapiga mziki gani...nani kwakuambia ukishaondoa hayo ndo itakuwa mwisho wa propaganda chafu? then wakati hizi propaganda chafu zinaendelea chama kinakufa au kinakua na kama kinakufa inawezekana ni hizo sababu na kama kinakua je hizo sababu zina msingi wowote katika hoja yako?Naamini wapo viongozi wazuri wanaoweza kumpokea kijiti Mh Mbowe na Slaa na wasiwe wasaliti,tusidhani kuanguka kunatokana na usaliti peke yake tu lakini kuna uwezo na ushawishi...tunaweza fikiri fulani ana ushawishi na uwezo wa kukivusha chama mahali salama kumbe ikawa tofauti kabisa na chama kishindwa vibaya sana katika kukua kwake na tukadhani amepewa fedha.

Kuna watu wanafanya vyema sana katika stage fulani ya taasisi lakini wanapopewa majukumu zaidi yahayo wana-prove failure kabisa so tusiingie katika mtego huo kwa kufanya trial..kuna best combination katika uongozi wa cdm na sidhani kama kuna haja ya kuiga kwingine.

TUISHI TUPENDAVYO NA SI WAPENDAVYO labda kama kuna marekebisho ya msingi sana(technical problem kwa viongozi waliopo) ambayo unaona bila ya hayo kurekebishwa basi chama hakitaweza kushika madaraka kamwe na hao hawataweza kufanya hayo marekebisho
 
Mkuu hoja zako zinajadilika japo kwa sasa ni invalid, vuta subira tuitoe kwanza CCM na ukoo wake wa panya.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE

Lile genge la wachaga pale makao makuu ndio litahamia Ikulu?
 
Mkuu hoja zako zinajadilika japo kwa sasa ni invalid, vuta subira tuitoe kwanza CCM na ukoo wake wa panya.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
Kabla yakujadili katiba tuifuate kwanza natuijadili sehemu usika

Chadema Kwanza
 
Salary Slip leo naona unakumbana na mihemko ya wanachadema ambao hawataki kusikia hata siku moja wakikosolewa, iwe kwenye vikao ama nje ya vikao. Ona sasa sikutegemea mtu kama wewe ambaye umetoa mawazo mazuri lakini umeanza kushambuliwa.
Kuikosoa Chadema ni kosa la jinai.
 
Last edited by a moderator:
Haya mawazo uliyotoa kwa CDM utaonekana USALITI, pitia tu sredi yako utatambua kuwa kwa kutoa hayo mawazo watu hawakumbuki ulivyokuwa unasapoti CDM, umeshaanza kuitwa msaliti na wangejui true ID yako ilikuwa inafatia kufukuzwa kwenye chama.

Chama cha CHADEMA ni chama cha ukombozi na kupigania uhuru, tofautisha na vyama vingine unavyojua wewe, hiyo demokrasia tuwaachie America lakini sio hapa kwetu chini ya utawala wa ukoo wa panya.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Delete CCM na ukoo wake wote wa panya ndiyo agenda kwa sasa.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BAADAE? Ina maana kwa sasa sualaa la demokrasia ndani ya CDM halipo kwa sasa macho yote ni ukombozi? Mkiingia kwenye ukombozi bila demokrasia hakika nakuambia demokrasia haitapatikana tena. Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi.
 
I hope pia unaishi maisha kwa kusikiza jamii inapiga mziki gani...nani kwakuambia ukishaondoa hayo ndo itakuwa mwisho wa propaganda chafu? then wakati hizi propaganda chafu zinaendelea chama kinakufa au kinakua na kama kinakufa inawezekana ni hizo sababu na kama kinakua je hizo sababu zina msingi wowote katika hoja yako?Naamini wapo viongozi wazuri wanaoweza kumpokea kijiti Mh Mbowe na Slaa na wasiwe wasaliti,tusidhani kuanguka kunatokana na usaliti peke yake tu lakini kuna uwezo na ushawishi...tunaweza fikiri fulani ana ushawishi na uwezo wa kukivusha chama mahali salama kumbe ikawa tofauti kabisa na chama kishindwa vibaya sana katika kukua kwake na tukadhani amepewa fedha.

Kuna watu wanafanya vyema sana katika stage fulani ya taasisi lakini wanapopewa majukumu zaidi yahayo wana-prove failure kabisa so tusiingie katika mtego huo kwa kufanya trial..kuna best combination katika uongozi wa cdm na sidhani kama kuna haja ya kuiga kwingine.

TUISHI TUPENDAVYO NA SI WAPENDAVYO labda kama kuna marekebisho ya msingi sana(technical problem kwa viongozi waliopo) ambayo unaona bila ya hayo kurekebishwa basi chama hakitaweza kushika madaraka kamwe na hao hawataweza kufanya hayo marekebisho

Asante sana kamanda chadema hatuongozwi na vichwa vya fisi Tunaongozwa na katiba

Chadema Kwanza
 
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BAADAE? Ina maana kwa sasa sualaa la demokrasia ndani ya CDM halipo kwa sasa macho yote ni ukombozi? Mkiingia kwenye ukombozi bila demokrasia hakika nakuambia demokrasia haitapatikana tena. Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi.

Chadema hawataki kitu chochote zaidi ya kuingia ikulu, hata ikibidi kumwaga damu
 
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BAADAE? Ina maana kwa sasa sualaa la demokrasia ndani ya CDM halipo kwa sasa macho yote ni ukombozi? Mkiingia kwenye ukombozi bila demokrasia hakika nakuambia demokrasia haitapatikana tena. Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi.
Misingi yote ya nidhamu na sheria inafuatwa

Chadema kwanza
 
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BAADAE? Ina maana kwa sasa sualaa la demokrasia ndani ya CDM halipo kwa sasa macho yote ni ukombozi? Mkiingia kwenye ukombozi bila demokrasia hakika nakuambia demokrasia haitapatikana tena. Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi.

Mimi sijui hata maana halisi ya demokrasia, Abraham Lincoln naye alikuwa na definition 750 za demokrasia, sasa kwanini sisi tukazanieni kitu ambacho hata waliokipagania hawakijui.

Haijalishi tuna demokrasia au hatuna, agenda ni moja tu mkuu kwamba DELETE CCM NA UKOO WOTE WA PANYA.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Hapa Jamii Forum ndio sehemu husika yakuleta haya waliyoleta
Kumbe JF ni sehemu ya propaganda tu? mimi nilidhani JF ni mahala pa kupeana mawazo kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu kumbe siyo. Hapa ni propaganda tu kama wenzetu wa Yanga walivyoambiwa bishana hadi ufe hata kama unaujua ukweli. ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA.
 
Ningekuwa na fursa ya kuingia kwenye vikao vya chama haya ningeyaseme huko huko ila bahati mbaya sina nafasi hiyo.

Weka wazo lako mbadala hapa kunikosoa au kuboresha na si kujitia upofu kuwa kila kitu always ni sahihi.

Saidieni viongozi kwa kutoa mawazo mbadala
na si kusubiri ya viongozi tu kila siku.

Kumbuka kuna kitu kinaitwa "constructive criticism" na tuitumie inapobidi na tusiwe blind follower tu.

Inawezekana ukawa na point note 'inawezekana' ila timing na means zisiwe sahihi. Yaani logic ni nzuri sana just simple calculation, kama ww unataka tukubari kukosolewa ''WHY NO YOU'' ukiona unashindwa ku~abide na simple principle kama hiyo in law we say you are biased.
 
Salary Slip usijitete kua wewe huwingi kwenye kamati kuu rejea katiba unaweza wasilisha mawazo yako kwa namna moja au nyingine

Chadema Kwanza
 
Back
Top Bottom