Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA


Wanataka waendelee kupeleka kodi ya pango kwa Mtei
 
Chadema kumejaa wajinga wengi ..wao mtu kutoa mawazo tofauti ni usaliti na dhambi.
Kama kukata kupenyezewa rupia na ccm wasikisaliti chama kweli tupo wajinga wengi wa namna hiyo lakini aliyokubali kupenyezewa rupia kama huyo aliyoondoka ndio ccm mnamuona anahakili akili za fisi hizo

Chadema Kwanza
 
Hakuna si political parties wala taasisi yeyote ile ambayo hakuna kufahamiana ambavyo ni udini,undugu,ukabira,rangi,sura, na ndio maana hata ukihtaji huduma white people and black people atapewa huduma kwanza white people popote duniani hata Africa ambako ni nyumbani kwa black people inauma sana kwahyo la msingi ni kuiondoa ccm madarakani labda kwa kutumia chama kingine tunaweza kutokomeza udini ukabira nk.
Chadema kwanza
 
Delete CCM ndiyo agenda kwa sasa.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
Pokeeni basi mawazo ya wenzenu pia. Yaani ukiwa CHADEMA unakuwa kama umetekwa nyara, leo Salary Slip katoa mawazo yake anaitwa msaliti; Msigwa kapost FB akiwa na EL imekuwa shida. Ukiwa CHADEMA huna uhuru wa kutoa mawazo yako kwa kuwa ukitoa mawazo tofauti tu basi jina lako linageuka na kuitwa msaliti. Kumbe ndio maana hapa JF kuna ushabiki wa kushangaza kabisa. Utakuta mtu anashadidia kitu ambacho hakina maana hadi anatukana kumbe ni kwa sababu ametekwa nyara haruhusiwi kutoa mawazo huru. Ukiwa na wazo huru tu basi wewe msaliti.
 
Ungenisoma vizuri ungenielewa rejea katiba ya chama

Chadema Kwanza
 

Haya mawazo uliyotoa kwa CDM utaonekana USALITI, pitia tu sredi yako utatambua kuwa kwa kutoa hayo mawazo watu hawakumbuki ulivyokuwa unasapoti CDM, umeshaanza kuitwa msaliti na wangejui true ID yako ilikuwa inafatia kufukuzwa kwenye chama.
 

Uhuru wa mawazo tutautoa November baada ya kubeba dola, sasa hivi agenda yetu ni ukombozi mkuu.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Chama chochote kina taratibu zake ambazo zinaongozwa na katiba na kuna sehemu yakupeleka malalamiko mawazo nk je hapo jf ndio penyewe hatutatetea au kuwafungia macho kwa namna yoyote wasaliti

Chadema kwanza
 
Uhuru wa mawazo tutautoa November baada ya kubeba dola, sasa hivi agenda yetu ni ukombozi mkuu.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE

hahahaha.. hiyo dola mtaibebea rombo au machame?
 
Nani amekuambia natoa ushauri? Kwa ufahamu wako nimemshauri nani au nini? By the way, mbona unapita mle mle nilimopita mimi? Nimesema wazi kwamba watu wanapoponda suala la kutokuwapo kwa ukomo wa uongozi hiyo huwezi kuita ni propaganda coz' ni kweli katiba ya CHADEMA imeondoa ukomo wa uongozi, adiha nikasema kwamba, tunachoweza kuita propaganda ni suala la CHADEMA na Uchaga... mbona unaonekana ni kana kwamba hufahamu ni nini hasa maana ya propaganda? Here's the heads-up:
Propaganda is the Information, especially of a biased or misleading nature, used to promote a political cause or point of view. propaganda - definition of propaganda in English from the Oxford dictionary
Nyingine hii hapa: Sasa watu wakihusisha udikteta na kutotoa uhuru wa kutafuta haki mahakamani hiyo sio false claim coz' katia ya CHADEMA haitoi uhuru huo! Watu wakihusisha chama na uongozi wa uongozi uimla hiyo sio propaganda coz', kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA mtu anaweza kuwa Mwenyekiti hata kwa miaka 50!!!

Hayo ya ugaidi, Uchaga, ukanda and the like ndizo propaganda zenyewe lakini sikuwa na sababu za kuzitaja reference yangu ilikuwa ni kwa mtoa mada na mambo aliyoyataja!!

Naona umeongea mengi kiasi cha kutoka nje ya mada... Salary Slip ame-highlight mambo ambayo anaonelea ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuyabadilisha... jikite kwenye hayo mambo na usitake kuelezea uzuri na ama ubaya wa katiba kwa sababu sio mada... Mleta mada ameleta baadhi ya vipengele vya katiba kwahiyo jikite kwenye hivyo vipengele badala ya kuielezea katiba kiujumla jumla!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…