Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

Kunawakati nilijiuliza, chadema inampango gani wa kiuongozi hapo baadae?

Maana huwezi ukawa unafanya timua timua Tu, bila kuangalia maslahi ya baadae, mfano,Mbowe Na Slaa wakizeeka, itakuwaje? Slaa Hana uwezo wa kushika hatamu ya vipindi viwili au vitatu maana amezeeka tayari, je chama ataachiwa Tundu Lisu peke yake?

Na hicho chama kitakuwaje, endapo Tundu mwenyewe ndio huyu wa kutekeleza sheria zisizo yekelezeka kwa maslahi yake?

Any way, cdm ukiwa Na mawazo tofauti utaitwa pro-CCM, Na ccm ikifa cjui watasingizia nn.
 
Serikali ikiondoa ruzuku tu kwa vyama vya siasa,Hayo yote uliyosema yanaweza fanyika na demokrasia ukaiona.Lakini kama pesa zipo za ruzuku na za wafadhili kwenye chama hayo unayoshauri ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.Unataka kukatiza ulaji wa watu wewe,shauri yako watakutimua kama walivyomtimua Zitto.

Mchaga siku zote anatafuta hela sasa Mbowe kaona kwenye chama kuna hela wewe unamwambia achia.Yuko tayari kufia hapo kwenye hela. Utaondoka wewe unayemwambia achia.

Duh wewe jamaa, mau-kabila na mau-dini yatakuua aiseee!!!!!
 
Don't allow others to set the agenda for you. We must continue to put them on the defense. We must not take instructions from them. Yaani unashauri tumwachishe Mbowe kugombea tena uenyekiti kwa sababu tu za kikabila?

It is not possible to be a little bit pregnant. Aidha CDM ina principles always au haina at all.

Teh Teh wenye chama hao..
 
Nitambua si kila propaganda ina nguvu lakini hizi ninazozisema zimetukali vibaya.

Hebu niambie propaganda ya ugaidi ina nguvu gani kwetu na imetuathiri nini.

Propanda ya ugaidi wengi wameipuuza na wala haina mashiko lakini sio hizo nilizozisema ambazo si za kupuuza hata kidogo.

Mkuu huenda una hoja nzuri ila nikuombe utuvumilie kidogo, hizi hoja zako tutazijadili mwezi November kwenye viunga vya ikulu huku tukipata na juisi nanasi ya baridi, hapa kwa sasa agenda ni ukombozi na kudelete CCM.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Salary Slip sintoshangaa kama hili ni bandiko lako, nishakutazama kwa tahadhari muda mrefu sana, mguu nje mguu ndani
chikutentema kwa hiyo unataka kusema CHADEMA ni kusanyiko la wasaliti? Hakuna wa kumuamini mwenzake, mnatizamana kwa tahadhari kubwa? Waacheni wenzenu watoe mawazo yao.

Kwa sasa kuna kifungu ndani ya katiba ambacho kinazuia wanachama kwenda mahakamani na huko tunakoelekea itkuwa ni mrufuku kutoa mawazo ambayo ni kinyume na mawazo ya viongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI!
 
Last edited by a moderator:

Ningekuwa na fursa ya kuingia kwenye vikao vya chama haya ningeyaseme huko huko ila bahati mbaya sina nafasi hiyo.

Weka wazo lako mbadala hapa kunikosoa au kuboresha na si kujitia upofu kuwa kila kitu always ni sahihi.

Saidieni viongozi kwa kutoa mawazo mbadala
na si kusubiri ya viongozi tu kila siku.

Kumbuka kuna kitu kinaitwa "constructive criticism" na tuitumie inapobidi na tusiwe blind follower tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huenda una hoja nzuri ila nikuombe utuvumilie kidogo, hizi hoja zako tutazijadili mwezi November kwenye viunga vya ikulu huku tukipata na juisi nanasi ya baridi, hapa kwa sasa agenda ni ukombozi na kudelete CCM.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
Juisi si walishakunywa viongozi?
 
Hatutaki kuendeshwa na propaganda, Mhe Mbowe tawala milele Baba, ilimradi tu nchi yetu ipate ukombozi wa 2, demokrasia tuwaachie Democratic na republic huko America, hapa sisi tunataka ukombozi kwa kuiondoa CCM madarakani.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE

Ukombozi gani?
 
Wakuu Molemo Mungi Crashwise piteni hapa kamanda katoa ushauri mzuri kwa chama ..tuungane makamanda kuelekea magogoni.

Mkuu ushauri wako na uunga mkono hasa kwenye ukomo wauongozi na swala la ukabila..hakika wewe ni mtu muhimu ndani ya chadema..ubarikiwe kwa kusema ukweli na bila shaka utaungwa mkono na wana chadema wote.
 
Last edited by a moderator:
chikutentema kwa hiyo unataka kusema CHADEMA ni kusanyiko la wasaliti? Hakuna wa kumuamini mwenzake, mnatizamana kwa tahadhari kubwa? Waacheni wenzenu watoe mawazo yao.

Kwa sasa kuna kifungu ndani ya katiba ambacho kinazuia wanachama kwenda mahakamani na huko tunakoelekea itkuwa ni mrufuku kutoa mawazo ambayo ni kinyume na mawazo ya viongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI!

Ukipinga mawazo ya mbowe tu , wewe ni msaliti
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huenda una hoja nzuri ila nikuombe utuvumilie kidogo, hizi hoja zako tutazijadili mwezi November kwenye viunga vya ikulu huku tukipata na juisi nanasi ya baridi, hapa kwa sasa agenda ni ukombozi na kudelete CCM.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE

Teh Teh mkuu ujue huna tofauti na vijana wa futuhi
 
Naomba Niweke sawa hapa Chadema tunafuata misingi ya Katiba hatutaweza kuwavumilia au kuwafungia macho wasaliti kwa kigezo eti ccm na michepuko yao wataongeage.. nibora tubaki wachache wenye nia yakweli na chama kuliko wengi wenye nia ovu na chama. Tutaendelea kusimamia katiba mapambano yanaendelea

Chadema Kwanza
 
chikutentema kwa hiyo unataka kusema CHADEMA ni kusanyiko la wasaliti? Hakuna wa kumuamini mwenzake, mnatizamana kwa tahadhari kubwa? Waacheni wenzenu watoe mawazo yao.

Kwa sasa kuna kifungu ndani ya katiba ambacho kinazuia wanachama kwenda mahakamani na huko tunakoelekea itkuwa ni mrufuku kutoa mawazo ambayo ni kinyume na mawazo ya viongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI!

Chadema kumejaa wajinga wengi ..wao mtu kutoa mawazo tofauti ni usaliti na dhambi.
 
Last edited by a moderator:
Salary Slip sintoshangaa kama hili ni bandiko lako, nishakutazama kwa tahadhari muda mrefu sana, mguu nje mguu ndani

Mleta maada Salary slip amekuwa akiitetea CHADEMA kwa nguvu zote.Ninamheshimu kwa kuwa yuko kama mimi kusimamia anachokiamini kiwe kizuri au kibaya hadi mwisho bila kutetereka hata kama cha kijinga.Mimi ni mmoja ambaye nimeshalumbana na Huyo SALARY SLIP hadi kufyatukiana lugha zisizo za kistaarabu humu jamii forums MODERATOR MARA INGINE AKAWA ANATUVUMILIA MARA INGINE KUFUTA mimi nikitetea CCM yeye Akishupalia CHADEMA yake.

Assesment mnayomfanyia sasa ya kumdharau si sahihi.Maoni aliyotoa ni mazuri kwa chama kama taasisi lakini inaonekana si mazuri kwa viongozi wa CHADEMA.Mkitaka kujenga CHADEMA kama taasisi imara msikilizeni yafanyieni kazi lakini kama lengo lenu ni kujenga SACCOS ya watu fulani ambao ni mamangi wanaotakiwa kukaa milele kwenye uongozi basi msimsikilize.
 
Naomba Niweke sawa hapa Chadema tunafuata misingi ya Katiba hatutaweza kuwavumilia au kuwafungia macho wasaliti kwa kigezo eti ccm na michepuko yao wataongeage.. nibora tubaki wachache wenye nia yakweli na chama kuliko wengi wenye nia ovu na chama. Tutaendelea kusimamia katiba mapambano yanaendelea

Chadema Kwanza

Kwa hiyo na huyu jamaa ni msaliti kama Ben saanane?
 
Naomba Niweke sawa hapa Chadema tunafuata misingi ya Katiba hatutaweza kuwavumilia au kuwafungia macho wasaliti kwa kigezo eti ccm na michepuko yao wataongeage.. nibora tubaki wachache wenye nia yakweli na chama kuliko wengi wenye nia ovu na chama. Tutaendelea kusimamia katiba mapambano yanaendelea

Chadema Kwanza

Lema alivyompiga mwigamba kitofali ndani ya kikao halali cha chama, katiba ilimchukulia hatua gani?
 
Naomba Niweke sawa hapa Chadema tunafuata misingi ya Katiba hatutaweza kuwavumilia au kuwafungia macho wasaliti kwa kigezo eti ccm na michepuko yao wataongeage.. nibora tubaki wachache wenye nia yakweli na chama kuliko wengi wenye nia ovu na chama. Tutaendelea kusimamia katiba mapambano yanaendelea

Chadema Kwanza

Umesomeka kamanda, kwa kuongezea ni kwamba agenda yetu sasa ni delete CCM na ukoo wake wa panya.
 
Back
Top Bottom