Popote Nchini tanzania kuna wakala au office ya chama hata unge google ungepata mawasiliano ya chama Hata ungetu pm tungekupa utaratibu wakuwasilisha Mawazo yako yangepokelewa na muhusika
Chadema Kwanza
Leo usingekuta mnahaha hivi nyie ccm kama ungekuta hayajafanyiwa kaziMlishafanyia kazi mawazo Mangapi mlokwisha pewa?
Chadema kwanza my Foot.
Ukiona wanahaha hivyo jua Mbowe nikiboko kibaya sana kwa ccm na michepuko yaoUkomo wa uongozi ni sanduku la kura ndugu.usichecheze muziki walioimba CCM.hata mbowe akiwa mwenyekiti kwa miaka 20 mradi anashinda kwenye sanduku la kura hiyo ndio democracia yenye mipaka
Naona umejivua mahaba na kuamua kutumia kipaji ulichojaliwa na Mungu ili kuwakumbusha wenzako mambo muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa.
Watu hawataki lakini suala la uchagga/ukasikazini, iwe propaganda ama kweli, linakiumiza CHADEMA.
Mawazo kama haya yanasaidi CCM kupata cha ongea na kamwe hayajengi wala hayasaidii chama.Ukomo wa uongozi ni sanduku la kura ndugu.usichecheze muziki walioimba CCM.hata mbowe akiwa mwenyekiti kwa miaka 20 mradi anashinda kwenye sanduku la kura hiyo ndio democracia yenye mipaka
Kama kweli ni mwanademokrasia na unaamini katika demomkrasia , Propaganda za Kishenzi/Na kishetani (hasa ukabila, rangi n.k) haziwezi kukutisha. Unachotakiwa kufanya ni kutafuta chanzo cha kwa nini watu hawaelewi sera za chama chako na wanaamini propaganda!Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
....
Mapendekezo yako ni mazuri lakini mimi nakushauri yapeleke kwenye vikao vya chama, anzia ngazi ya chini kabisa, watakusikiliza tu usiwe na hofu, hapa JF ni kama umbeya tu wa akina Zitto et al.
Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.
Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.
Yangu ni hayo tu.
Don't allow others to set the agenda for you. We must continue to put them on the defense. We must not take instructions from them. Yaani unashauri tumwachishe Mbowe kugombea tena uenyekiti kwa sababu tu za kikabila?
It is not possible to be a little bit pregnant. Aidha CDM ina principles always au haina at all.
Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.
Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.
Yangu ni hayo tu.
Nadhani unaangalia upande mmoja tu wakuwalizisha magamba. Hujaangalia kitu muhimu sana ambacho inteligence ya chama ndo inachokifanya. Hivi unajua risk ya mtu yeyote kuwa mwenyekiti wa chadema? Siyo kila unayemwona ni mwanachama wa chadema anafaa kuwa kuwa kiongozi wa ngazi ya juu. Fatilia vyama au taasisi zote makini hata kama kiongozi atapigiwa kura bado watakao kuwa shortlisted ni wale kweli yoyote kati yao akichaguliwa chama kitakuwa salama. Kitu cha msingi ni usalama wa chama kwanza demokrasia inakuja juu yake.Haya mambo tunayapuuza lakini ukweli ni kuwa yanatuathiri katika harakati za kuleta mageuzi nchi hii.
Hakuna propaganda nyingine zinazoweza kutusumbua zaidi ya hizi nilizotaja.
Tusiwe rigid badala yake tuwe flexible kama kweli tunataka kushika dola.
Kufanya mabadiliko hayo kuna ugumu gani?
Tambua kuwa wewe unaona hizi propaganda ni upuuzi kwasababu tu wewe ni muelewa ila u anasahau kuwa watu wote sio waelewa.
Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
Mtu asie na uwezo wa ku-reason akitajiwa alianza Mtei akafuaya Bob Makani na sasa Mbowe wote wakiwa ni wachaga ni rahisi sana kuamini hizo propaganda.
Tusiotoe mwanya wa watu kutengeneza propaganda.
Kwa hapa Tanzania makabila yenye uwezo wa kuendesha vyama vya upinzani na kupata mafanikio ni haya Chagga,Meru,Iraq/Mbulu,Kyusa,Kurya basi.Wengine wote maneno tu.Chadema bado inajengwa sasa unataka wasaliti waje kuongoza Chadema?
Hivi wewe unafikiri mafanikio ya chama yanatokana na mawazo na fikra za viongozi tu?!Waambie CCM waliokutuma watafute mbinu nyingine
Mapendekezo yako ni mazuri lakini mimi nakushauri yapeleke kwenye vikao vya chama, anzia ngazi ya chini kabisa, watakusikiliza tu usiwe na hofu, hapa JF ni kama umbeya tu wa akina Zitto et al.