Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,388
- 1,058
Wee jidanganye tuTukutane 26/04/2018.
Tushachoka.
Polisi, ogopeni mtu anayetamani kujiua akabahatika kukutana na muuaji.
Wee jidanganye tuTukutane 26/04/2018.
Tushachoka.
Polisi, ogopeni mtu anayetamani kujiua akabahatika kukutana na muuaji.
Maana mayowe yako yatazuia risasi si ndio..Tukutane 2604. Hatushindwiiii. Ni lazima tupambanie Uhuru wetu. Tukutane barabarani. Mtapiga risasi tutapiga mayowe.
Anahonga bongo movieHv mnunuzi wa bombadia yeye anatumiaje madaraka
Kasome shule wewe, mnakimbia elimu ya juu mnaishia kuandika pumba mitandaoni!!Unajua mamlaka aliyonayo rais wewe au unaropoka tu. Jpm kawashika pabaya mmebaki kuwayawaya tu
Nawewe umo kwenye maandamano uchwara yanayoratibiwa na da mange?Yaani upinzani wote mwenye akili na shujaa ameonekana ni mange.Tukutane 26/04/2018.
Tushachoka.
Polisi, ogopeni mtu anayetamani kujiua akabahatika kukutana na muuaji.
Tukutane 26/04/2018.
Tushachoka.
Polisi, ogopeni mtu anayetamani kujiua akabahatika kukutana na muuaji.
Unaijua katiba vizuri ya nchi au unakurupuka tu. Au unataka tukuletee na vifungu vinavyoonyesha anayofanya mengi anakoseaga?Unajua mamlaka aliyonayo rais wewe au unaropoka tu. Jpm kawashika pabaya mmebaki kuwayawaya tu
Kila siku mnasema kawashika pabaya hapo pabaya ndio wapi?Unajua mamlaka aliyonayo rais wewe au unaropoka tu. Jpm kawashika pabaya mmebaki kuwayawaya tu
Hivi unapotosha kwa faida ya naniNipe kifungu cha sheria alichovunja usiseme usiseme kutoka hewani. Raisi ana uwezo wa kukataa budjeti zilizopangwa na bunge kutokana na pesa kutokuwepo au amezipangia kwingine. Soma ibara ya 45(i)
Hivi kituo cha ITV bado kipohio yote kuwatisha azam TV ambayo ndo inayoonekana kua fair kidogo ,baada ya kufanikiwa kuiweka ITV mfukoni mwa ccm,
Vipi kuhus zile samaki? na ule mtumbwi wa Dar bagamoyo?Kuna siku tutamfikisha mahakamani mnunuzi wa bombadia
So kila anayeandamani ni mpinzani.Nawewe umo kwenye maandamano uchwara yanayoratibiwa na da mange?Yaani upinzani wote mwenye akili na shujaa ameonekana ni mange.
Endeleeeni kuamini hivyohivyo.wewe hautakuwepo, hayawani mkubwa!,mnafiki, mwoha, coward,
Hata mke wako tutamweka mfukonihio yote kuwatisha azam TV ambayo ndo inayoonekana kua fair kidogo ,baada ya kufanikiwa kuiweka ITV mfukoni mwa ccm,