Mambo Matano aliyoyakubali Tido Mhando baada ya kusomewa maelezo

Hii sheria ya kusaini ukiwa nje ya nchi ni kwa ajiri ya mhando au wote hata walio wahi kuwa mawaziri? au wale walifata maagizo hivyo ni ngumu kuwa pata...

namkumbuka mwenye macho ya makengeza ane ona pesa tu, aliwahi kusema alie kutuma wewe kuuza nyumba ndio aliye nituma mimi...

Hahahahahahaa... Natamani kusomesha watoto wangu uwana sheria ili waje wajipigie hili shamba la bibi yao...
 
Unajua mamlaka aliyonayo rais wewe au unaropoka tu. Jpm kawashika pabaya mmebaki kuwayawaya tu
Kasome shule wewe, mnakimbia elimu ya juu mnaishia kuandika pumba mitandaoni!!

Rais hayupo juu ya Sheria wala Katiba, hana absolute powers kama wajinga wanavyoamini kuwa rais kwao ni kama Mungu.

Ingekuwa hivyo asingeomba kura 2015 na wala asingeapa kuilinda Katiba ya nchi.

Wakati wa kampeni alisema atakua Rais wa wote bila kujali chama, leo anajiona kawa Mungu hana mipaka.
 
Kuhusu kusign hlo mbona kawaida tu hata km ni mm ningesign si alkuwa msimamiaji? Kwa nn yeye asiwe na mamlaka kama anaona matokeo chanya!? Sirikali hii itaishia muhula mmoja
 
Tukutane 26/04/2018.

Tushachoka.

Polisi, ogopeni mtu anayetamani kujiua akabahatika kukutana na muuaji.
Nawewe umo kwenye maandamano uchwara yanayoratibiwa na da mange?Yaani upinzani wote mwenye akili na shujaa ameonekana ni mange.
 
Unajua mamlaka aliyonayo rais wewe au unaropoka tu. Jpm kawashika pabaya mmebaki kuwayawaya tu
Unaijua katiba vizuri ya nchi au unakurupuka tu. Au unataka tukuletee na vifungu vinavyoonyesha anayofanya mengi anakoseaga?
 
Nipe kifungu cha sheria alichovunja usiseme usiseme kutoka hewani. Raisi ana uwezo wa kukataa budjeti zilizopangwa na bunge kutokana na pesa kutokuwepo au amezipangia kwingine. Soma ibara ya 45(i)
Hivi unapotosha kwa faida ya nani

136.-(1) Fedha hazitatolewa kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina
ya Serikali kwa ajili ya matumizi ila kwa mujibu wa masharti
yafuatayo:-
(a) fedha hizo ziwe kwa ajili ya matumizi ambayo
yameidhinishwa yatokane na fedha zilizomo katika
Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali na idhini hiyo iwe
imetolewa na Katiba hii au sheria nyingine yoyote;
(b) fedha hizo ziwe kwa ajili ya matumizi ambayo
yameidhinishwa ama na sheria ya Matumizi ya
Serikali iliyotungwa mahsusi na Bunge au sheria
iliyotungwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 140
ya Katiba hii.
(2) Fedha zilizomo katika mfuko maalum wowote wa serikali,
ukiachilia mbali Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali, hazitatolewa
kutoka mfuko huo kwa ajili ya matumizi ila mpaka matumizi
hayo yawe yameidhinishwa na sheria.
(3) Fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
hazitatolewa kutoka Mfuko huo kwa ajili ya matumizi ila mpaka
matumizi hayo yawe yameidhinishwa na Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali na pia kwa sharti kwamba fedha
hizo ziwe zimetolewa kwa kufuata utaratibu uliowekwa kwa ajili
hiyo kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.


NB: hivi wapu hapo imeandikwa kwa idhini ya. Rais?? Hivi mnatetea uhuni kwa faida ya nani??
 
Nawewe umo kwenye maandamano uchwara yanayoratibiwa na da mange?Yaani upinzani wote mwenye akili na shujaa ameonekana ni mange.
So kila anayeandamani ni mpinzani.

Me ni mtanzania wa kawaida sema nshazeeka.
 
Coverage ya maelezo ya TL akiwa Nairobi, imegeuka kuwa uhasama dhidi ya mkurugenzi. Upuuzi mkubwa!
 
Back
Top Bottom