Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Rudisheni rambirambi za wafiwa wacha kujitoa akili
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Hivi wewe ombea fagio la vyeti feki lisifike ndani ya ccm lazima utarudi kwenu mwandiga kwa miguu badala ya kupanda Adventure au Saratoga
 
Kutoa sio lazima Ujulikane au Uende na Lori la Waandishi msibani!!
Yaani unaalika Mwqndishi unaenda kutoa Rambi Rambi!!
Kwanini hawakujichanga hapo kabla wakawapeleka watoto wale 3 kutibiwa!!
Hizi kiki za Misibani hazita wasaidia wanafiki sikuzote
Majizi ya rambirambi za wafiwa
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Madhara ya kula rambirambi ndio haya. Tunajua huna akili timamu, ila jaribu hata kuigiza tu
 
Kwa hiyo nyie kazi yenu ni kusubiri misiba tu....mara Mwangosi...Mara ...Mawazo ...na leo kwa watoto yaani hamasa yenu ni kwenye mazishi tu...tekelezeni ahadu yenu ya Machinga Complex achaneni na michango ya vifo tu.

waandishi wa habari wa nini ? Kwenye utoaji wa rambirambi? Toeni kimyakimya tu, Mungu anawaona
 
Tunamshukuru RC GAMBO KWA KUHITIMISHA ZOEZI LA UTOAJI RAMBIRAMBI
 
Kwa hiyo nyie kazi yenu ni kusubiri misiba tu....mara Mwangosi...Mara ...Mawazo ...na leo kwa watoto yaani hamasa yenu ni kwenye mazishi tu...tekelezeni ahadu yenu ya Machinga Complex achaneni na michango ya vifo tu.
Mkuu VP familia ya the late Mabina ulipeleka rambirambi
 
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
Kutoa ni moto... Na kwa taarifa yako anayekusanya kodi ni serikali ivyo anawajibu pia wa kujenga machinga complex.
Ela ikusanywe na serikali halafu huduma atoe chadema lol wewe ni zaidi ya Noguchi
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Naye anayezuia utoaji wa rambirambi si aseme kimya kimya au wa kufungwa mdomo ni chadema pekee ila CCM waropoke watakavyo.... Ujuha huo
 
Back
Top Bottom