Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Jingalao hela ya rambi rambi ni ya rambirambi na si vinginevyo
Chadema ni mabingwa wa kukusanya na kujitolea kwa ajili yamazishi na sio maendeleo.

Tujiongeze vs Tujisahihishe
 
Sasa kwa nini hakuwa mkweli na honest...huu sio wakati wa siasa za ujanja ujanja mtaumbuka.

naona mnataka kujionesha kuwa mko karibu na wananchi lakini scene mliyochagua sio yenyewe...acheni marehemu wapumzike....never take advantage ya wafiwa waliopo kwenye machungu.
Hakuwa mkweli wakati siku ya kuweka jiwe la msingi walikuwepo wawakilishi wa wafadhili!Gambo akaleta upuuzi wake!
Kwani umeambiwa marehemu wamefukuliwa?Mngeacha wafiwa wapewe rambi rambi zao kwa amani!Shame
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!

Wako kama jahazi lililopoteza mwelekeo. Lushoto wao kulia wao

Wazee wa matukio
 
Kwani ni lazima kutoa kimya kimya?Usinipangie namna ya kutoa rambi rambi!
Na zingepelekwa kimyakimya wangesema... "mbona hamjautangazia umma zilikuwa ngapi?.." Hilo kundi la wanyang'anyi ni hatari sana! Sisiemu? Ptuuuuuu...!!
 
Uweni watoto wenu tena mfanye siasa. Upo uwezekano mliwatoa kafara?
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Kama hadharani zimeliwa kisiri si ndo kabisaaaaaa
 
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
Arusha itabaki kuwa ya WanaArusha wengine wapita njia. Muda utaongea/utasema!
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Akili zao zina Uvimbe
 
Chadema waliahidi kusaidia familia ya mawazo mpaka leo wameitelekeza.Wao ni kutafuta kiki misibani tu,msiba ukiisha wanapotea
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!

Kusema ukweli, CHADEMA wanakatisha tamaa sana. Hawana vision yoyote. Wao wanadeal na issue ndogondogo. Sasa issue ya msiba na kwenda kutoa rambirambi wanaita waandishi wa habari ili iweje? Wanapenda publicity za kijinga kabisa. Yaani kutoa rambirambi lazima utangaze? Upinzani Tanzania bado sana kwa kweli
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Kwahiyo unataka hela ya wafiwa ikajenge soko? Hivi CCM mna akili timamu? Mnasubiri watu wafe ndio mtumie michango kutekeleza ilani?
 
Mnasubiri watu wafe halafu mjidai ni matajiri wa kuchangia.
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Nyie ni majizi wa rambirambi wakubwa
 
Back
Top Bottom