Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Toka Gambo ameingia Arusha imetulia tulii...naona mnataka kuanzisha maandamano ya kuchangia msiba.
RC kabla ya Gambo ndio aliiweka Arusha ikaelewana!Gambo anafaidi matunda ya aliyemtangulia,kaanza kulikoroga!
 
Tumia majina yote Malima lakini kikubwa mmejidhihirisha kwamba nyie ni wezi wa pesa zaRambirambi,wauaji wa RAIA wanyonge,wanayanyasaji wa RAIA hususan Wapinzani, Majangili ya raslimali za Taifa letu.Mkqende mkafe halafu mkusanye Rambirambi mkajenge My Meru.

Mwambie Gambo anauwezo wa kuchinja hata mkewe ,afanye hivyo tumchangie akajenge hospitali ya My.Meru.
Utofauti wenu na sisi kwenye kujenga hoja ni mkubwa sana.

Kwanza hoja zenu zinajikita kwenye tetesi na uzushi.
Pili mnapenda kuhamaki.

Nakushauri ukarejee ahadi za lema na uangalie kipengele alichoahidi kwa vijana na kina mama wamachinga.

Halafu muulize amefikia wapi?

Muulize nani kamkwamisha?

Halafu muulize ni lini aliahidi kuwa mfariji wa watu kwenye misiba?
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Nikurebishe tu kuwa... si chadema waliochanga rambi rambi. Ulikuwa ni umoja wa wakuu wa shule binafsi, viongozi wa kidini, wakiwa na meya wa jiji. Walikuwa wakipeleka rambi rambi zao..

Sasa mambonya uchama yametoka wapi?
 
RC kabla ya Gambo ndio aliiweka Arusha ikaelewana!Gambo anafaidi matunda ya aliyemtangulia,kaanza kulikoroga!

Tena kalikoroga haswa.Anashindana na Mbunge wa Arusha ambaye akikohoa watu wake wanakimbia kumsikiliza ana tatizo gani.
 
RC kabla ya Gambo ndio aliiweka Arusha ikaelewana!Gambo anafaidi matunda ya aliyemtangulia,kaanza kulikoroga!
Kwa sababu mlikuwa mnalipwa miposho nje ya utaratibu.
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Wanahabari walikuwa pale ku cover story.. na rambi rambi hazikutolewa kwa kundi la wana habari. walienda shule ili pesa ziweze kuwafikia walengwa kwa haraka coz shule inawafaham wazazi
 
Huo ujumbe wa kumkumbusha ahadi hiyo ataupata,kama hospitali ya mama na mtoto aliweza naamini hilo atafanikiwa!
Marufuku kula rambi rambi!
Hospitali ya mama na mtoto ilikuwa ni ufadhili wa wahisani wa dini halafu lema alitaka kutuzuga ni yeye peke yake.
 
Utofauti wenu na sisi kwenye kujenga hoja ni mkubwa sana.

Kwanza hoja zenu zinajikita kwenye tetesi na uzushi.
Pili mnapenda kuhamaki.

Nakushauri ukarejee ahadi za lema na uangalie kipengele alichoahidi kwa vijana na kina mama wamachinga.

Halafu muulize amefikia wapi?

Muulize nani kamkwamisha?

Halafu muulize ni lini aliahidi kuwa mfariji wa watu kwenye misiba?
Pole sana tena sana ,nyie wenye matusi ya nguoni nanyi mnajiita mnahoja.?Hebu rudi nyuma usome hoja zako halafu uangalie na Naona za wenzako ndipo utaona upumbavu uliouandika.

Ameleta Hospitali ya Mama na mtoto bado Mshikaji wako aka ingia ili kuikwamisha amekwama,Leo unaongea upupu mtupu kisa nini rambirambi??

Mkuu wa Mkoa amejidhihirisha chuki ,ubabe,visasi na Ubaguzi wake against wachaguliwa.Chuki ya kiitikadi kisa Meya ni wa Chadema. kueni basi japo kidogo basi.

Tanzania yetu sote hata Lema na Kalist bado wanayohaki ya kuongoza mkoa wowote na wao ndiyo wachaguliwa wa Arusha hamuwezi kubadilisha.

Mwambia huyo juha aliyekutuma,akagombee ubunge kwao Arusha ni ya Chadema na waheshimu hilo,na wewe heshima hilo.Hujui Arusha ndiyo wale UVCCM manotokea Chattle.
 
Onesheni ufanisi wa kukusanya michango ya kujengea Machinga Complex na hospitali ya jiji sio hamasa ya kusaidia mazishi tu.
Kaka hata kama ninkujitoa ufaham ww umezid unaelekea kuwa ndondocha.
pesa zilichangwa na watu mbali mbali kama rambi rambi.. na si za machinga complex.
itakuwa ni dhambi kupeleka hiyo pesa kwingine badala ya kuwafikia wafiwa..

Okay kama pia machinga complex ninya muhimu sama.. lini nyie na chama chenu mlichanga hela kwa ajilo ya machinga complex?
 
Hospitali ya mama na mtoto ilikuwa ni ufadhili wa wahisani wa dini halafu lema alitaka kutuzuga ni yeye peke yake.

Azige nini alichozuga??Wakati Jamaa yako alidhani atawafukuza apeleke Chattle, kumbe imeshindikana,maneno mengi lakini ndiyo hivyo hospitali inajengwa na bado Barabara ziko vizuri,usafiri mahali pake chezea Chadema, CCM kinawauma mpaka basi.

Kafeni mkusanye rambirambi mjengee ICU ya My.Meru Hospital.
 
Hospitali ya mama na mtoto ilikuwa ni ufadhili wa wahisani wa dini halafu lema alitaka kutuzuga ni yeye peke yake.
Kama mbunge alifanya kazi yake,aliwatafuta mpaka akawapata wafadhili!Hilo limewauma sana!
 
CCM mnapenda kula rambi rambi nyie km watoto wa laana. Hizo rambi rambi zinawauma sana. Siyo akili yako ila kuna mtu yupo anamsukuma Gambo achukue pesa kutoka kwa meya mkale. Lile lizee baada ya kula ya kagera, likawatukana sana. Limesikia za watoto Arusha linataka duh!
CCM INARATIBU MISIBA SASA HIVI
 
Utofauti wenu na sisi kwenye kujenga hoja ni mkubwa sana.

Kwanza hoja zenu zinajikita kwenye tetesi na uzushi.
Pili mnapenda kuhamaki.

Nakushauri ukarejee ahadi za lema na uangalie kipengele alichoahidi kwa vijana na kina mama wamachinga.

Halafu muulize amefikia wapi?

Muulize nani kamkwamisha?

Halafu muulize ni lini aliahidi kuwa mfariji wa watu kwenye misiba?

Za JPM zinasemaje??Tanzania ya Vi_wonder au rambirambi?

Maajabu pale Majizi yanapong'ang'ania Rambirambi za wafiwa,shame on you CCM.
 
Kwa sababu mlikuwa mnalipwa miposho nje ya utaratibu.

Posho zile kilikuwa zinalipwa toka enzi ya Halmashauri kuwa chini ya CCM, lakini sababu ya chuki na visasi umeona Madiwani wa CHADEMA watatajirika,na bado ahwachukui hata wengi jengeni basi hiyo My.Meru,pesa zote mnakwapua kwa ajili ya Uchaguzi 2020.

Majizi ya CCM, mtakufa.
 
Utofauti wenu na sisi kwenye kujenga hoja ni mkubwa sana.

Kwanza hoja zenu zinajikita kwenye tetesi na uzushi.
Pili mnapenda kuhamaki.

Nakushauri ukarejee ahadi za lema na uangalie kipengele alichoahidi kwa vijana na kina mama wamachinga.

Halafu muulize amefikia wapi?

Muulize nani kamkwamisha?

Halafu muulize ni lini aliahidi kuwa mfariji wa watu kwenye misiba?[/QUOTE]

Nimegundua ninyi ni vibaraka mnaofata upepo!Hapo kwenye bold umewaza kibashite kabisa kama mkulu!Kwamba Mkulu hakuahidi tetemeko kagera kwenye kampeni zake!!!!!!
Its a shame
 
Pole sana tena sana ,nyie wenye matusi ya nguoni nanyi mnajiita mnahoja.?Hebu rudi nyuma usome hoja zako halafu uangalie na Naona za wenzako ndipo utaona upumbavu uliouandika.

Ameleta Hospitali ya Mama na mtoto bado Mshikaji wako aka ingia ili kuikwamisha amekwama,Leo unaongea upupu mtupu kisa nini rambirambi??

Mkuu wa Mkoa amejidhihirisha chuki ,ubabe,visasi na Ubaguzi wake against wachaguliwa.Chuki ya kiitikadi kisa Meya ni wa Chadema. kueni basi japo kidogo basi.

Tanzania yetu sote hata Lema na Kalist bado wanayohaki ya kuongoza mkoa wowote na wao ndiyo wachaguliwa wa Arusha hamuwezi kubadilisha.

Mwambia huyo **** aliyekutuma,akagombee ubunge kwao Arusha ni ya Chadema na waheshimu hilo,na wewe heshima hilo.Hujui Arusha ndiyo wale UVCCM manotokea Chattle.
Sasa kama Arusha ni ya chadema kwa nini mnalilia kiki ya msiba?

Kwa nini msitekeleze ahadi zenu kuonesha utofauti?

changisheni milioni hamsini ili kujenga Machinga Complex sio kutaka sifa za kinafiki eti mmetoa rambirambi.

Juzijuzi tu Kalist alimpongeza Gambo na Serikali kwa usimamizi mzuri...leo hii wewe unasema Gambo mbaya.
Tatizo lenu mnasahau mapema.
 
Kama mbunge alifanya kazi yake,aliwatafuta mpaka akawapata wafadhili!Hilo limewauma sana!
Sasa kwa nini hakuwa mkweli na honest...huu sio wakati wa siasa za ujanja ujanja mtaumbuka.

naona mnataka kujionesha kuwa mko karibu na wananchi lakini scene mliyochagua sio yenyewe...acheni marehemu wapumzike....never take advantage ya wafiwa waliopo kwenye machungu.
 
Posho zile kilikuwa zinalipwa toka enzi ya Halmashauri kuwa chini ya CCM, lakini sababu ya chuki na visasi umeona Madiwani wa CHADEMA watatajirika,na bado ahwachukui hata wengi jengeni basi hiyo My.Meru,pesa zote mnakwapua kwa ajili ya Uchaguzi 2020.

Majizi ya CCM, mtakufa.
Zilipofutwa mbona mlimlaani Gambo na mkurugenzi??Mbona mlilia sana?

Baada ya hizo fedha kuokolewa na kuanza kuwaletea wana Arusha maendeleo ndio kina Kalist wanampongeza Gambo.

Again Siasa za ulaghai hazina nafasi kwani kwa sasa wapo watu wenye akili zaidi ya Nyumbu.
 
Back
Top Bottom