Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Anaye toa hatafuti Sifa sikuzote
Kiki hadi Msibani!!

Ikumbukwe pesa haikuchangwa na mtu mmoja,ni wadau wengi!Mpaka hapo tayari ishakuwa jambo kumba ba ili kujenga imani kwa waliozipitisha fedha hizo kwenye mikono hiyo,basi wakaitwa waandishi ili mrejesho uwepo!
Mambo mengine ni logic ya kawaida tu,kama unataka kujua kiki ni zipi angalia hii video

Hapo Rais kamtuma msigwa kwenda kumsaidia mgonjwa,makamera mpaka chumbani,mpaka anamkabidhi fedha na kupiga simu kwa Rais makamera yako on,hadi Rais anaongea kwa simu anawekwa loud speaker huku makamera na vifaa vya kunasa sauti vikawa on!Baadaye tunarushiwa habari kwenye runinga kuwa Rais kamsaidia mgonjwa fedha!
Swali,alishindwa kwenda kimya kimya kutoa huo msaada??

MOTOCHINI kwa hili utaingia mitini
 
Haya basi pelekeni kwa wafiwa lakini muanze na hamasa ya kuchangia Machinga Complex...maana hiyo ndio yenye kiki haswa.
Hilo watajichanga wana Arusha,sio suala la kitaifa!
 
Kama mlivyokula rambirambi za mjane wa Mwangosi

Kumbe Mnakumbuka mpaka pesa za Mwangosi aliyezila ni Mwanachama wa CCM tena mkuu wa mkoa.Mnakumvushia machungu nyie wauaji wakubwa.

Mmeaua Kijana wa watu kisa itikadi.Kuna wakati angalia points zako unazozitoa zina kera sana.Wauaji wakubwa nyie.
 
Kumbe M nakumbuka mpaka pesa za Mwangosi aliyekuwa ni Mwanachama wa CCM tena mkuu wa mkoa.Mnakumvushia machungu nyie wauaji wakubwa.

Mmeaua Kijana wa watu kisa itikadi.Kuna wakati angalia points zako unazozitoa zina kera sana.Wauaji wakubwa nyie.
Niko hapa kukuambia ukweli hata kama unakukera.Yaani kwenye maswala ya Rambirambi lazima mjitokeze na kutafuta kiki.
 
Niko hapa kukuambia ukweli hata kama unakukera.

Chama cha mauaji acheni hizo bado Chadema tuna maxhungu na kuondoka kwa kijana wetu kisa Policcm.

Usitake nikutukane acha upumbavu,usidhani Watanzania ni wapumbavu Wauaji wakubwa nyie.
 
Hilo watajichanga wana Arusha,sio suala la kitaifa!
Ndio mumsaidie lema kuhamasisha...sio kuhamasisha michango ya mazishi tu.
watu wanataka maendeleo sio unafiki wa kwenye misiba
 
Chama cha mauaji acheni hizo bado Chadema tuna maxhungu na kuondoka kwa kijana wetu kisa Policcm.

Usitake nikutukane acha upumbavu,usidhani Watanzania ni wapumbavu Wauaji wakubwa nyie.
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Kuanzia sasa tumekomesha mchwa kwenye rambirambi .
 
Ndio mumsaidie lema kuhamasisha...sio kuhamasisha michango ya mazishi tu.
watu wanataka maendeleo sio unafiki wa kwenye misiba
Ooh kwasababu hamkuahidi rambi rambi kwenye ilani,sivyo?
Sisi tumeguswa na suala la kitaifa,hilo la machinga complex halmashauri inakusanya kodi,zinatosha wakiamua!
 
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!

Utanena kwa kila lugha leo!Mchwa wa rambi rambi kichwa chini tukapiga nyundo!
 
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!

Kwa hiyo mmezoea kuua vijana wa Chadema leo hawapo naona mpovu yanawatoka .

Mmezoea kuua vijana wa Upinzani nendeni mkaue UVCCM wenzenu wanaopinga matumizi mabaya ya madaraka ya huyo mpuuzi. Maana mmezoea kuua hakika Chama Cha Mauaji mnashida sana
 
Ooh kwasababu hamkuahidi rambi rambi kwenye ilani,sivyo?
Sisi tumeguswa na suala la kitaifa,hilo la machinga complex halmashauri inakusanya kodi,zinatosha wakiamua!
Machinga Complex ilikuwa ni ahadi ya lema...atekeleze ahadi zake na aache kujificha kwenye kichaka cha kuchangia mazishi.
 
Kwa hiyo mmezoea kuua vijana wa Chadema leo hawapo naona mpovu yanawatoka .

Mmezoea kuua vijana wa Upinzani nendeni mkaue UVCCM wenzenu wanaopinga matumizi mabaya ya madaraka ya huyo mpuuzi. Maana mmezoea kuua hakika Chama Cha Mauaji mnashida sana
Toka Gambo ameingia Arusha imetulia tulii...naona mnataka kuanzisha maandamano ya kuchangia msiba.
 
Matajiri wa RambiRambi!!

Tumia majina yote Malima lakini kikubwa mmejidhihirisha kwamba nyie ni wezi wa pesa za Rambirambi,wauaji wa RAIA wanyonge,wanayanyasaji wa RAIA hususan Wapinzani, Majangili ya raslimali za Taifa letu.Mkqende mkafe halafu mkusanye Rambirambi mkajenge Mt.Meru.

Mwambie Gambo anauwezo wa kuchinja hata mkewe ,afanye hivyo tumchangie akajenge hospitali ya Mt.Meru.
 
Machinga Complex ilikuwa ni ahadi ya lema...atekeleze ahadi zake na aache kujificha kwenye kichaka cha kuchangia mazishi.

Huo ujumbe wa kumkumbusha ahadi hiyo ataupata,kama hospitali ya mama na mtoto aliweza naamini hilo atafanikiwa!
Marufuku kula rambi rambi!
 
Back
Top Bottom