Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Ushahidi ni Lowasa kujitangaza kuwa mgombea urais pekee wa chadema 2020.!!!!!!

Siku zote mmiliki wa chama hasubili democrasia ya chama. Lowasa ni mmiliki wa chama.

kwa hiyo lipumba ni mmiliki wa chama cha cuf manake tangu 95 anajitangaza yeye kumiliki, huyo lowasa kutamka mara 1 ndo ishakuwa ushahidi, weka ushahidi mezani sio kubwabwaja
 
Mleta uzi hayo ndo matunda ya lichama lako kukunyima elimu. Hiyo chadema unayoingelea ina mapolisi wa kuamuru kamata yule nyima dhamana,msiwafanyie wafanye kazi zao kisheria muone huo unaouita mkakati
 
Na hao uliowataja wewe nao wamepumzika wamemuachia kazi Fuso Lema.

Ndukiiiii
Kwa uchanga wao...na kwa matokeo ya 2015 na ukichanganya mwendo wa kisiasa sasa hawana justification ya kupumzika
 
Wekeni uwanja sawa wa Siasa muone CHADEMA ilivyo na nguvu..

Mikutano ya Siasa hamtaki, bunge live hamtaki halafu unakuja kusema huwasikii wanasiasa wa CDM..

Kumbe akina Le Mutuz mpo wengi eeehh.
Kwamba unamaanisha kipindi cha JK uwanja ulikuwa sawa?mbona mlikuwa mnalalamikia uwanja?
 
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
 
Mkuu naona rambirambi zimewauma sana, macho kodo kwenye hela za wafiwa, poleni sana
Hii inahusu Machinga Complex...yaani mna hela ya kuchangia majeneza badala ya maendeleo.
 
Kumbe mlitaka hizo mil 50 mkazibadili matumizi kama mlivyofanya kagera???Hahahaaa ccm mna laana!Hadi rambi rambi mnafanya ni makusanyo ya nchi
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
 
rambirambi sio utajiri acha umasikini wa akili....

Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.

Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.

Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.

Chadema Arusha Machinga Complex lini???

[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
 
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
Hapana,hizo ni pesa kwa ajili ya wafiwa!Tumezikusanya kwa jina la rambi rambi,itakuwa dhambi kuzibadili matumizi na itakuwa usaliti kwa waliochanga wakijua wanachangia waliofiwa na watoto wao wapendwa!Ni waliokosa utu,heshima,maadili na waroho wanaoweza kuchukua rambi rambi na kuzipeleka kufanyia shughuli nyingine!
 
Rambirambi mtazisikia tu hivyo hivyo kwenye tv na radio, tumewajua kwa tabia zenu za kula rambirambi
Kutoa sio lazima Ujulikane au Uende na Lori la Waandishi msibani!!
Yaani unaalika Mwqndishi unaenda kutoa Rambi Rambi!!
Kwanini hawakujichanga hapo kabla wakawapeleka watoto wale 3 kutibiwa!!
Hizi kiki za Misibani hazita wasaidia wanafiki sikuzote
 
Hii inahusu Machinga Complex...yaani mna hela ya kuchangia majeneza badala ya maendeleo.
Jamani huyu kaamua kutoa ya moyoni,kumbe wadau waliona mbali na kuamua kuchangia kwa watu wanaowaamini!Mnavizia mpaka rambi rambi mfanye kama ndio makusanyo ya TRA
 
Kutoa sio lazima Ujulikane au Uende na Lori la Waandishi msibani!!
Yaani unaalika Mwqndishi unaenda kutoa Rambi Rambi!!
Kwanini hawakujichanga hapo kabla wakawapeleka watoto wale 3 kutibiwa!!
Hizi kiki za Misibani hazita wasaidia wanafiki sikuzote
Huwezi mpangia mtu achangie kwa utaratibu gani,kama ni kiki sawa ilimradi pesa zifike!Ila umesema vema kuwa sio lazima ujulikane,ila pia sio lazima usijulikane!
 
Back
Top Bottom