Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

Hata mawakala mmekosa
Mawakala walizuiwa na Polisiccm, hakuna uchaguzi mwaka huu kuna maigizo tu, CCM itatawala bila baraka za wapiga kura ni ubakaji wa sanduku la kura unaipeleka CCM ikulu kwa njia haramu za kishetani
 
Mawakala walizuiwa na Polisiccm, hakuna uchaguzi mwaka huu kuna maigizo tu, CCM itatawala bila baraka za wapiga kura ni ubakaji wa sanduku la kura unaipeleka CCM ikulu kwa njia haramu za kishetani
Mfano mawakala wa kituo gani?
 
Jingalao ktk mazingira na katiba hii tulionayo inategemea kuona nini kwa CDM ?! wakati usiku na mchana Maghufuli na serikali yake wanahakikisha CDM haifanyi siasa isipokuwa yeye tu.

Unapambana na mtu mliyemfunga miguu na mikono kisha unajiona boxer ?! Aibu kwa uongozi huu wa kufikirika. Weka mazingira ya ushindani sawa kisha urudi utambe hapa. Ccm bila police na jeshi haipo niamini.
Mtukufu magufuli aliwambia wakurugenziccm kuwa kawapa kazi mshahara na Magari kisha asikie wanamtangaza mpinzani lazima watamkoma , hakuna uchaguzi kuna maigizo ya uchaguzi ni mara 100 wasingepoteza pesa bure
 
Chadema ni mabingwa wa kukusanya na kujitolea kwa ajili yamazishi na sio maendeleo.

Tujiongeze vs Tujisahihishe
Tanzania hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa zote za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
Hakuna uchaguzi bali kuna washindi wa kupachikwa kwa njia haramu za kishetani zilizosukwa na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm
 
Wapinzani wakatae kusaini popote uchaguzi urudiwe huu siyo uchaguzi huru ni maigizo ya uchakachuaji mtupu
 
NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM ni makada wa CCM wote unategemea nini hapo
 
Back
Top Bottom