Mambo Makubwa yaliyoondoa credibility ya CHADEMA!

K
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
kwahiyo mtu akipatwa na matatizo tusisaidiane kwasababu ya machinga complex kweli ccm mbona mnatutoa kwenye ubinadamu kwasababu ya siasa zenu jamani nchi mnaiharibu
 
Chakushangaza nikuwa Rambirambi zinatolewa kwa Kundi la wanahabari!!
Hivi huwezi kutoa kimya kimya!!
Hawa huu msiba Wanaweza kuombea utokee mwingine
maana wanalo lisimamia halionekani ktk nchi hii wapo na Matukio tu,Haijulikani hoja yao nini,Mwelekeo wao upi
Kutwa Majungu,Chuki,Udaku !!!
Kwani ni lazima kutoa kimya kimya?Usinipangie namna ya kutoa rambi rambi!
 
Hapana,hizo ni pesa kwa ajili ya wafiwa!Tumezikusanya kwa jina la rambi rambi,itakuwa dhambi kuzibadili matumizi na itakuwa usaliti kwa waliochanga wakijua wanachangia waliofiwa na watoto wao wapendwa!Ni waliokosa utu,heshima,maadili na waroho wanaoweza kuchukua rambi rambi na kuzipeleka kufanyia shughuli nyingine!
Yaani uwezo wa chadema ni kuhamasisha michango ya majeneza....sio matibabu au maendeleo?
 
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga

Hahahahahaha, amewekwa pabaya, kumbe harassment yote ile ni hizo m50,Sasa zimechanganywa na marafiki wa Chadema kwenda kwa wafiwa kinawauma nini au kwa vile CCM haijatoa??

Kwani pesa za Hospitali mmezifanyia nini mpaka mkimbilie pesa za wafiwa??Majizi bwana mmezoea kukwapua mpaka Kwenye misiba duh!
 
K

kwahiyo mtu akipatwa na matatizo tusisaidiane kwasababu ya machinga complex kweli ccm mbona mnatutoa kwenye ubinadamu kwasababu ya siasa zenu jamani nchi mnaiharibu
Kwa hiyo nyie kazi yenu ni kusubiri misiba tu....mara Mwangosi...Mara ...Mawazo ...na leo kwa watoto yaani hamasa yenu ni kwenye mazishi tu...tekelezeni ahadu yenu ya Machinga Complex achaneni na michango ya vifo tu.
 
Yaani uwezo wa chadema ni kuhamasisha michango ya majeneza....sio matibabu au maendeleo?
Hatuzili hizo pesa hata mtushawishi vipi,mnataka tufanane na ninyi!Haiwezekani,tutazifikisha zikiwa salama salmini kwa wafiwa!Full stop,subirini majanga mengine muibe,hizi hamzioni!
 
Hahahahahaha, hujaona ile hospitali ya mama na mtoto!Mlitegemea donor akimbie Siyo?? Mmekula mawe mtakoma.mmeachwa uchi Majangili nyie mpaka Pesa za wafiwa hamna soni.!
 
Yaani uwezo wa chadema ni kuhamasisha michango ya majeneza....sio matibabu au maendeleo?
Hahahaaaa,hata mtushawishi vipi,hatuzili hizo pesa!Hatutaki kufanana na nyinyi makuwadi wezi wa rambi rambi!
 
Hatuzili hizo pesa hata mtushawishi vipi,mnataka tufanane na ninyi!Haiwezekani,tutazifikisha zikiwa salama salmini kwa wafiwa!Full stop,subirini majanga mengine muibe,hizi hamzioni!

Wa subiri wakifa wao Chama Cha Magamba,tutakusanya michango yao na kupeleka bar tukanywe
 
Hahahahahaha, amewekwa pabaya, kumbe harassment yote ile ni hizo m50,Sasa zimechanganywa na marafiki wa Chadema kwenda kwa wafiwa kinawauma nini au kwa vile CCM haijatoa??

Kwani pesa za Hospitali mmezifanyia nini mpaka mkimbilie pesa za wafiwa??Majizi bwana mmezoea kukwapua mpaka Kwenye misiba duh!
Onesheni ufanisi wa kukusanya michango ya kujengea Machinga Complex na hospitali ya jiji sio hamasa ya kusaidia mazishi tu.
 
Wa subiri wakifa wao Chama Cha Magamba,tutakusanya michango yao na kupeleka bar tukanywe
Kiki Ndio hoja yenu kwa sasa
Unabeba Lori zima la waandishi msibani kutoa Rambirbi Du!
 
Hahahaaaa,hata mtushawishi vipi,hatuzili hizo pesa!Hatutaki kufanana na nyinyi makuwadi wezi wa rambi rambi!
Haya basi pelekeni kwa wafiwa lakini muanze na hamasa ya kuchangia Machinga Complex...maana hiyo ndio yenye kiki haswa.
 
Back
Top Bottom