johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,114
Katika hayo hata JPM kazidiwa pia.Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Membe ana hasira na mtu mmoja tu CCM.Intelijensia yake ilishindwa kumsaidia 2015. Huyu Membe ni kivuruge tu. Atapata kura chache sana na mwaka 2023 atarudi CCM kama mbwa koko aliyenyeshewa na mvua.
Kisu kilikuwa kimoja, Magufuli aliwahi kushika mpini Membe aliishia kushika kwenye makali.Kwa kutumia hizo sifa ulizoziorodhesha mbona ata JPM amezidiwa lakini Membe mlimfukuza?
Sasa hayo ni mahaba na sio kwa vigezo hapo juuKati ya Membe na Lissu nitamchagua Lissu kila siku ya uhai wangu!
Mnatafuta mtu dhaifu ili mmwangushe asubuhi tu? Tunawaletea chuma cha pua mhangaike nacho, mtajibeba haki ya nani mwaka huu! Mwenye moyo fake mwambieni ajiandae kisaikolojia!Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Membe hata sisi ccm hatumtaki, tutawashangaa sana wapinzani mkikubali kumuacha huyu mroho wa madaraka agombee urais.Kati ya Membe na Lissu nitamchagua Lissu kila siku ya uhai wangu!
Kama wewe ulivyo na mahaba na WCBSasa hayo ni mahaba na sio kwa vigezo hapo juu
Basi aende kuunga mkono juhudi za aliowakuta pande hizo na sio yeye kuomba/kulazimisha aungwe mkono. Zaidi ya hapo ni fujo tu na umimiMembe ana hasira na mtu mmoja tu CCM.
Huyu alishafikia cheo cha juu sana cha ukachero, anatetea maslahi mapana ya Taifa.Basi aende kuunga mkono juhudi za aliowskuta na sio yeye kuoomba/kulazimisha aungwe mkono. Zaidi ya hapo ni fujo tu na umimi
Jo sometimes hebu pumzika kidogo...kuna maisha nje ya siasa..na unacholipwa ni chiken feedMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
HAFAI. Hayo maslahi mapana angeyatetea akiwa kundini. Eti leo ndo anajidai kudai tume huru? Msaka tonge tu huyuHuyu alishafikia cheo cha juu sana cha ukachero, anatetea maslahi mapana ya Taifa.
Membe ana hasira na mtu mmoja tu CCM.
Kundini atarudi baada ya kumaliza kazi ya kuchezea akili za upinzani. Safari hii hakutumwa Waziri Mkuu Mstaafu ametumwa kachero mbobezi.HAFAI. Hayo maslahi mapana angeyatetea akiwa kundini. Eti leo ndo anajidai kudai tume huru? Msaka tonge tu huyu