Uchaguzi 2020 Mambo makubwa matatu ambayo Bernad Camilius Membe anamzidi Tundu Antipas Lissu!

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,473
2,000
Bahati nzuri hata Zitto Kabwe anajua kabisa huyu mtu hawezi kushinda uchaguzi ila wanabank on possibility of winning a few extra seats za ubunge huko anakotoka Membe

CHADEMA wasikubali kabisa kumuunga mkono huyu mamluki. Hana sifa wala hapendwi
Tatizo kule kusini wanaojua kusoma na kuandika si wengi sana. Wengi wanaomba msaada wa wahudumu wakati wa kupiga kura, wanaishia kuonyeshwa kuweka alama kwa mgombea wa CCM.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,320
2,000
Kura zihesabiwe hadharani ni hicho tu. Watanzania tunataka UWAZI. Kama kuhesabu kura zenu hadharani ni sawa kwanini muogope October kura kuhesabiwa hadharani? Huyo hajitambui vitisho vyake UCHWARA havimtishi yoyote yule.

1596315243284.jpeg

Nyie chekeni tu ......mtalia huko mbele.

Mwenyekiti wa NEC amesisitiza muwe makini msije kulaumu mtu mbele ya safari!
 
Mkwavingwa

Member
Jul 26, 2020
62
125
Bahati nzuri hata Zitto Kabwe anajua kabisa huyu mtu hawezi kushinda uchaguzi ila wanabank on possibility of winning a few extra seats za ubunge huko anakotoka Membe

CHADEMA wasikubali kabisa kumuunga mkono huyu mamluki. Hana sifa wala hapendwi
Kwani issue ni sera au kupendwa, unajiita consultant kisha una spelt nonsense, kupendwa alipendwa Lowasa na umamluki wake kisha Chuma cha pua JPM kikamkalisha na mijihela yake aliyowahonga kina mbowe hadi huyo LISU wako akatepeta kwa aibu
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,186
2,000
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Ujinga wa ccm unajulikana wazi hamtoki mwaka huu.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,130
2,000
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Mwinyi alikuwa na sifa ipi kati ya hizo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom