Uchaguzi 2020 Mambo makubwa matatu ambayo Bernad Camilius Membe anamzidi Tundu Antipas Lissu!

kunayo nahaya ma5:
1. Membe anauzoefu wa uongozi na anaexposure yakutosha tofauti na lissu hodari aliye hodari wa kuongea
2. Membe anaheshima nzuri navyombo vya ulinzi na usalama mf. Tiss, polisi,jw nk. tofauti na lissu anayegombana na vyombo hivi muhimu kilamara.
3. Membe anamisimamo na anaaminika zaidi tofauti na lissu ambaye mf alishiriki kumchafua lowasa kisha kumwogesha nk.
4. Membe anabusara ya uongozi Vs Lissu mtu wa kupaniki na magomvi katibuana nawengi Sana.
5. kiafya Lissu atapata shida kuizungukia nchi kiufatiliaji Vs lissu ameathiriwa vibaya nawanyamapori
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!

Unahangaika sana,umetumwa na nani ?.
 
Katika hayo hata JPM kazidiwa pia.

Napendelea Rais wetu asiwe mtu anayezidi miaka 60 wakati anashika madaraka kwa mara ya kwanza. Sina sababu za msingi.
Nataka rais asiye na ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, na anafuata kanuni,katiba na utawala bora.


Asiwe mungu mtu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom