Uchaguzi 2020 Mambo makubwa matatu ambayo Bernad Camilius Membe anamzidi Tundu Antipas Lissu!

Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Katika hayo hata JPM kazidiwa pia.

Napendelea Rais wetu asiwe mtu anayezidi miaka 60 wakati anashika madaraka kwa mara ya kwanza. Sina sababu za msingi.
 
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea

Pili, Membe mwana intelejensia

Tatu, Membe ni mwana seminari

Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.

Maendeleo hayana vyama!
Mnatafuta mtu dhaifu ili mmwangushe asubuhi tu? Tunawaletea chuma cha pua mhangaike nacho, mtajibeba haki ya nani mwaka huu! Mwenye moyo fake mwambieni ajiandae kisaikolojia!
 
Binafsi niliona kuanguka kwa BM ni pale alipo amua kurusha karata yake kwenye chama cha Zitto.
Nikimsikiliza sana BM namuelewa kana kwamba hana ajenda ya maana zaidi ya kujipambanua kwamba JPM anapashwa afanye mabadiliko ambayo hata yeye BM aliyaishi kipindi akiwa kwenye system.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom