sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Zinduna umenifurahisha sana mpendwa...... M4C daima!.......karibu sana kuelekea kwenye ukombozi wa kweli!Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
Last edited by a moderator: