Mambo haya uswahilini yanakera

uswahili raha sana nyie hamjui tu ndio maana mnalalamika, ukiona hivyo umetokea mkoani kwahiyo ukafikizia uswahili.otherwise tuulize wenyewe raha yake ikoje. im home sick
 
tuwekee picha kaka tu proove sio unaweka maneno matupu


 
utakuta jibaba limefunga kataulo tu, tumbo kubwaaa, kitambi c kitambi, halafu na mswaki na maji kwenye
kikombe mbele ya watu bila aibu linagongea maji ya mswaki kwa jirani?
 
tuwekee picha kaka tu proove sio unaweka maneno matupu

unapenda picha eeh? kuwapiga watu picha uswahilini c kutafuta ugomvi?
unataka katavi akimbie mtaa nini?
 
utakuta jibaba limefunga kataulo tu, tumbo kubwaaa, kitambi c kitambi, halafu na mswaki na maji kwenyekikombe mbele ya watu bila aibu linagongea maji ya mswaki kwa jirani?
Ahahaaah!!! Hii ya kugongea maji ya mswaki kwa jirani nayo kali aisee.....yaani uswazi kuna vituko!!
 
aaahntafanya hivy manake natamani kuwatilia upupu
yaaani we acha tu
 
Huku swahilini kwetu sisi tumepazoea mswaki unakaa dirishani..
 
Polen sana,inabidi cku moja niwakaribishe huku kwe2 masaki...
 
uswahili raha sana nyie hamjui tu ndio maana mnalalamika, ukiona hivyo umetokea mkoani kwahiyo ukafikizia uswahili.otherwise tuulize wenyewe raha yake ikoje. im home sick


mubada kwani we unafikiri mkoani hauna uswazi? kila mkoa una mitaa ya inayoitwa uswazi,uhindini, uzunguni teh teh teh
 
Huwa nakereka mtu akiingia msalani anatumia mda mrefu kukata gogo,anafunga mtaa kwa harufu mbayaaa
 
Huwa nakereka mtu akiingia msalani anatumia mda mrefu kukata gogo,anafunga mtaa kwa harufu mbayaaa
Ahahahaaaah!! Na uswazi hakuna nyumba ambazo ni self-container...
 
kuna siku niliona mbagala, saa tatu usiku jamaa anakatiza na taulo kiunoni,kifua wazi sijui alikuwa anaenda dukani? mambo ya free style!
Alikua anaend kununua condom mazee....c unajua hakuna appointment uswazi, mtoto unamtongoza anakupigia hodi baada ya lisa...kwahio hakutegemea kupata haraka hivyo, na condom zilikua zimeisha akagundua akiwa kesha vua nguo ikabidi akimbie grocery kupata kinga/...lol

Licha ya kukaa dirishani pia unatumika zaidi ya miezi sita!
Mswaki uswaz kubadilisha mpaka uishe kabisa zile uzi....sio kwenu huko unabadilisha kila baada ya muezi au miezi kadha..
 
Ahahahahaah!!!
 
Kaaazi kweli kweli.....
[video=youtube_share;yOlYOGFoMz0]http://youtu.be/yOlYOGFoMz0[/video]​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…