Mambo ambayo sitoyasahau Mwaka wa Kwanza Chuo

Mambo ambayo sitoyasahau Mwaka wa Kwanza Chuo

Ndyooo, yaani lazima nifike hapo niwacheki kama hawapo ndyo niulizie wako wapi [emoji3] [emoji3] ,after lecture nikale zangu RB na soda maisha burudaniii, I miss those moments aisee.
Hii venue ilisababisha nikachelewa Pepa la Kemia..Yaan nafika mpk naruhusiwa kuingia na pepa niliyokutana nayo plus Lile joto Yaan nikawa natamani nisingeiona tu..
 
Wewe ulikutana na Ratiba ya CoNAS,Zl 121 Dr Nyundo
Ndo ilikuwa ya kwangu hiyo.
Sema tu sasa yale ma codes ndo yalinivuruga nikakuta siielewi kabisa ratiba.
First year anatoana ushamba siyo kitoto.
Unaweza ukaona maisha ni magum zaid.
 
Hahaa,polee haukuhudhuria September conference(kusapua) kwelii?
Nilikuwaa najibu hata sielewi kile ninachojibu afu ndani vichwa viwili vimeshare maswlali mmoja wapo sahv n katibu Mkuu wizara ya Elimu(Prof) mwingine kapewa uProf Kama mwezi umepita hivi siku nafungua ARIS nusu niharishe nikakutana na B Plain sikuamin kabisa...
 
Aiseee B plain si mchezo ,kumbe ulikua kichwa sana,hongeraaa
 
Sitasahau nilivyoingia LT na ndala ..baadae naona picha yangu inasambazwa chuoni ..eti wanauliza "HIVI FIRST YEAR MNA NINI LAKINI"nikawa mngaro wa chuo mapema tu
255714799717_status_fad5bb152b204d7887441163c911e86e.jpeg
 
Back
Top Bottom