fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Tupe uzoefu wako yalokukuta,sitosahau nilikuwa najibu maswali nanyoosha mkono napiga piga kama darasa la nne ili nionekane kichwa,sitosahau mimi ndio nilikuwa gwiji waku-install microsoft office
Maoni Yaliyotolewa na wadau
Maoni Yaliyotolewa na wadau
First year bana, Yani kila kitu kwako ni kigeni kwa mazingira ya chuo hasa chuo chetu pendwa UDOM
1. Ukiaza na kuchanganya VENUES,
unajikuta unasoma masomo ya mwaka wa 3 au 2 we unajua pengne ndio mwanzo mgumu wa first year
2. Kuanza kutumia ATM kwa mara ya 1 bank, unajikuta card ya bank inamezwa na ATM
3. Kwenda na ma daftari karibia yote 7 per day
4. Kutembea na mizigo kila kona kuhofia kuibiwa [emoji2][emoji1]
5. Kuwa na hamu ya kupata demu
NB: first year raha sana,ila wanafunzi waliokutangulia (2,3)yr huwa wanaka dharau furani hivi hasa wakijua ww ni first year.