Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,397
- 18,010
Bashite kuwa na nyumba nzuri kuliko hata ya Jakaya Kikwette siyo jambo la ajabu. Ametumia sana ukaribu wake na Jiwe kuwapora matajiri magari, fedha kwa kisingizio cha "dawa za kulevya" au kwa kisingizio kuwa "Mzee amenituma anataka hela".Uneona ehhh BASHITE noma, na kapewa nyumba bureee na sirikalioni
Mwaka 2019 aliwafanganya GSM kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite wakawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite. Naishia hapa.