ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
I guess me too!Waoo! ISIS
Ni nzuri, nilikumis sanaaa!
I guess me too!Waoo! ISIS
Ni nzuri, nilikumis sanaaa!
Ha ha ha.Kumsomesha
Umenena point watu wamekariri eti sifa ni kusema umependeza wakati appreciation ya kitu alichofanya ni more powerful kuliko huo unafiki,afu ndoa ikikomaa huo ujinga huwa unabisha automaticallyMkuuu kwa nini umsifie kinafki?hakuna jambo zuri 1 unalolikumbuka alilowahi kukutendea ukaamua kumsifia kwa hilo?
yaani wanapenda mwanaume mbambe kwa sababu nyepesi kama hizo,hao wanawake wa kwenu watakuwa ni schoolless ,dependants &hopeless!Hivi kwa nini huwa mnapinga tu vitu halisi na ambavyo vipo?
Hivi unajua ni wanawake wangapi wanapigwa na waume zao ila hawataki kuachika anaweza akakimbia kwenda nyumbani kwao lkn baadaye atarudi tu
Mwanamke anapenda kumkontro mwanaume hawa wapole ni ngumu sana na huwa inamuwia vigumu kumkontro kwa hiyo wanawapenda wababe maana ni vyepesi kumfaham kachukia anaman siyo hivi vipole
Mfn mwanamke amekutwa ktk mazingira tatanishi mbabe atamtwanga tu hasira inaisha ila mpole atamuuliza kiustarabu kama anaongea na mama yake rubbish
Pia wanawake hufikiri future baba mbabe watoto hawatamsumbua ila hawa wapole
Hehehe
Teh
Asante kaka mwanamke anatulia mwenyewe. Na usiombe kukutana na binti ambaye hajawahi kukutana na misukosuko ya kimapenzi, huwa hawaelewi na kuwaona wenzao waliotulia km mafala, hadi yakimtokea ndio akiri ina mkaaMwanamke hana formula, akiamua kutulia na vichache unavo mfanyia atatulia tuu. Asipo amua kutulia hata ufanyeje hawezi.
Ni mpaka yeye mwenyewe aamue.
Ni bado watu wengi hawajui hilo, mwanaume anaweza kutulizwa na mwanamke, lakini mwanamke hutulia akifika time amesema sasa natulia, adipo amua yeye hata mwanaume ufnyae vipi hata tulia.Asante kaka mwanamke anatulia mwenyewe. Na usiombe kukutana na binti ambaye hajawahi kukutana na misukosuko ya kimapenzi, huwa hawaelewi na kuwaona wenzao waliotulia km mafala, hadi yakimtokea ndio akiri ina mkaa
Mwanamke hana formula, akiamua kutulia na vichache unavo mfanyia atatulia tuu. Asipo amua kutulia hata ufanyeje hawezi.
Ni mpaka yeye mwenyewe aamue.
Wanawake sikieni hili, siku hizi mnakuja na "to do" list ndeefu, yaani mambo mnayotaka kufanyiwa. Ukweli wa ndoa ni tofauti mno!! Ili ndoa iweze kudumu, mwanamke ndiye aliyeshika ufunguo. Ni kosa kubwa mwanamke kuingia kwenye ndoa akiwa amejiwekea staili ambayo anataka mumewe aishi naye. Na hili linachangiwa na maisha ya maboyfriend wa awali ambao walikuwa wanabembeleza wapate kumega mkate tu, na ndio maana hawakumuoa mwanamke yuleyule.Wakuu habari za jioni,poleni na kazi kichwa cha habari kinavyojieleza;
■Usimuumize moyo wake kwa namna yoyote ile.
■Usimvunjie heshima kwa kumsema/kumgombeza mbele za watu hasa watu wanao wahusu.
■Usipritend unampenda wakati moyo wako uko mwingine.
■Usithubutu kumtolea kauli kuumiza mf unamwambia wewe mjinga, mpumbavu.
■Usimchukulie kirahisi rahisi(never take her love for granted)yaani wakawaida
■Unasikiliza maneno ya kuambiwa unayaeta ndani kwa hasira unaanza kumpiga unampiga kwa maneno ya kuambiwa.
Maneno ya kuambiwa ni hatari sana kwenye mahusiano yenu.
■Nimewaza kwa sauti, kwanini unaenda na simu bafuni au unaificha ficha ficha. ■Usimfanye ajione hapendwi na anamkosi hapa ulimwenguni.
■Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri, peaneni maneno ya faraja na matumaini.
Sometimes kuna watu wanakuwa hawajielewi wanapokuwa kwenye mahusiano, hajui kumsifia mwenzi wake, hana kauli za mahaba
mwanamke amekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potention, mwanamke ambae hakodolei macho pochi yako, kweli anastahili kuuminzwa na kulia kila siku?
■Huna mda na mwenzi wako mkaa mkapanga mipango yenu, ikapangoka
■Msikilize kwani anakitu cha ziada
Nawatakia mvua njema wakazi wa Dar naona mvua imeanza
Mwanamke hatawaliki, labda yeye mwenyewe azitawale hisia zake kwanza. Watu wamefanya zaidi ya hayo na wameishia kujeruhiwa.Mtunze kwa kiasi cha kipato chako alichokupendea, mpe zawadi unapopata pesa na mpe gegedo la maana.
Utamtawala
Na hapa kuna funzo kubwa. Mwanamke akipata misukosuko anakimbilia nje ya ndoa ni hatari mno!! Lakini hii ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuionja.Asante kaka mwanamke anatulia mwenyewe. Na usiombe kukutana na binti ambaye hajawahi kukutana na misukosuko ya kimapenzi, huwa hawaelewi na kuwaona wenzao waliotulia km mafala, hadi yakimtokea ndio akiri ina mkaa
Mkuu, 100% uko sahihi. Mwanamume anatulizwa na mwanamke, mwanamke anaamua kutulia mwenyewe. Ukiona mwanamke anafanya jambo nje ya utaratibu wa ndoa kwa kisingizio mume wangu eti hanithamini, ujue ni tabia yake anaikunjua kwa kutafuta visingizio.Ni bado watu wengi hawajui hilo, mwanaume anaweza kutulizwa na mwanamke, lakini mwanamke hutulia akifika time amesema sasa natulia, adipo amua yeye hata mwanaume ufnyae vipi hata tulia.
Wanawake sikieni hili, siku hizi mnakuja na "to do" list ndeefu, yaani mambo mnayotaka kufanyiwa. Ukweli wa ndoa ni tofauti mno!! Ili ndoa iweze kudumu, mwanamke ndiye aliyeshika ufunguo. Ni kosa kubwa mwanamke kuingia kwenye ndoa akiwa amejiwekea staili ambayo anataka mumewe aishi naye. Na hili linachangiwa na maisha ya maboyfriend wa awali ambao walikuwa wanabembeleza wapate kumega mkate tu, na ndio maana hawakumuoa mwanamke yuleyule.
Kwenye ndoa mwanamke pigania kuuteka moyo wa mumeo, hayo yote uliyoorodheza ni matokeo yake. Wewe kazi yako iwe kumwonyesha mumeo kwa nini alikuchagua wewe kati ya wengi, na ukifanya hilo, mumeo badala yake atakuwa mtumwa kwako nawe utaishia kuwa malkia. Mwanamke anayejishusha na kuishi kwa kumbembeleza mumewe huishia kuwa kiongozi wa mume na hufaidi mema ya nchi, ndivyo haswaa wafanyavyo nyumba ndogo.
Wanawake wa siku hizi wanatawaliwa na akili za ndoa za "mitandaoni" kwamba "asipokufanyia hivi hakupendi, ana mtu pembeni, na wewe chepuka" nk. Ndio maana taasisi ya ndoa liko mahututi mno kwa zama zetu. Mwanamume ni mbabe by nature, lakini mwanamke ni mbabe zaidi akijua siri ya nguvu ya mwanamume. Kisa cha Samsoni na Delila ni mfano tosha wa ndoa halisi. Mitandaoni kuna makungwi wa aina nyingi, walioshindwa ndoa zao, wasioolewa kabisa, wanaojiuza nk.
Mwanamke, mfanye mumeo aione thamani yako, usiombe akuthamini, mfanye akuthamini!! Usiingie kwenye ndoa na list ya mambo ambayo ungependa kufanyiwa, list ambazo ni nadharia zaidi. Bali wewe nenda ukafanyie mumeo yakupasayo na Hayo mengine yatakuwa yako, ndio maana halisi ya msaidizi. Kila mara keti chini ujiulize, ilikuwaje mume wangu akaacha wanawake wote akanichagua mimi, akaenda kwetu, akatoa mahari, akanioa machoni pa wanadamu. Leo upendo huu umekwenda wapi, ni wapi nimejikwaa? Ukifanya hivyo, hakika mumeo hawezi kuona dosari kwako. Epuka kumfanya mumeo aishi katika majuto, muda wote akijiuliza ilikuwaje akakuoa wewe, kwa nini alifanya kosa kubwa namna hii!! Mwonyeshe ni kwa nini hakukosea kukuoa wewe, epuka kushindana na mumeo. Kwamba akikukasirikia ukatafyte faraja nje, wewe ndio utapoteza.
Kumbuka, mwanamume ni kiumbe dhaifu sana mbele ya mwanamke. Mafundisho ya siku hizi ambayo yamejipenyeza mpaka makanisani (hski sawa) yamechangia kujua taasisi ya ndoa. Mwanamke utabaki kuwa msaidizi wa mumeo tu, lakini msaidizi mwenye busara huishia kuwa mkuu zaidi. Tumia asili yako kumteka mumeo na kumfanya mjakazi wako!!
HAKUNA KITU KIKUBWA AMBACHO MWANAMUME ATAKUFANYIA MAISHANI MWAKO, KAMA KUAMUA KUKUOA. WENGI WATAKUPENDA ILI UWATULIZIE KIU, LAKINI HAWAKO TAYARI KUKUOA. USIUZIME HUO MOYO WA MUMEO KWA KUTAKA AKUNYENYEKEE, JINYENYEKEZE ILI UMSHUSHE CHINI YAKO!!