Ni Sheeeda
Senior Member
- Feb 10, 2015
- 188
- 131
Mwanamke hatulizwi hadi hadi atulie mwenyewe lakini mwanaume hatulii hadi atulizwe!! Note that!!
Namaanisha kujihusisha nao kimapenziMkuu kujihusisha nao kivipi sijakuelewa hapoo
Ila nimegundua jambo,vijana wanalalamika na mabinti nao wanalalamika sana
Sijalifanyia risech ila siamini kama kuna mwanamke anapenda mwanaume MBABE[emoji15] mwanamke anapenda mwanaume anae jiamini,mwenye mipango inayoeleweka,mkweli,anaemjali kwa hali zote,asieenda na simu bafuni,mwanaume anae kisimamia kile mlichokipangaWanawake wengi wanapenda wanaume wababe wafanya vituko na visa
Wakati mwingi huwa wanawamic badalaa
Lkn ukijifanya mchungaji Kobe utaona balaa lake
Teh
Hivi kwa nini huwa mnapinga tu vitu halisi na ambavyo vipo?Sijalifanyia risech ila siamini kama kuna mwanamke anapenda mwanaume MBABE[emoji15] mwanamke anapenda mwanaume anae jiamini,mwenye mipango inayoeleweka,mkweli,anaemjali kwa hali zote,asieenda na simu bafuni,mwanaume anae kisimamia kile mlichokipanga
Kumbe! Sasa mkuu waulize hao wenye kukuomba ushauri, hata wanaotimiza yote hayo watakueleza yanayowasibu.[emoji3] [emoji3] sijihusishi nao ila huja kwangu kuniomba ushauri na msaada kwa mambo wanayopitia me &ke
Mkuuu kwa nini umsifie kinafki?hakuna jambo zuri 1 unalolikumbuka alilowahi kukutendea ukaamua kumsifia kwa hilo?Cha msingi ni kujiheshimu na kutimiza wajibu wako kama baba au mme...hayo mambo ya kutaka kumsifia kinafiki yanapoteza muda tu....
Labda ni mhenga teleo ni shida wao muda mwingi why? Why?Mhhh!! Hivi unawazungumzia wanawake hawa hawa wa toleo hili au wewe in mhenga unazungumzia toleo lililopita?
Mtakuwa na amani na ataona unamjali na kumthamini [emoji127] mahusiano yenu yatakuwa na afya,na mtaishi maisha marefu no stress
Waoo! ISISIceman 3D za masiku tele?
Ataanza kukuua weweUkimfanyia atakufa???
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Ataanza kukuua wewe
Haya mambo yooooote labda ni rahisi kutofanyiwa na mama yake tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu habari za jioni,poleni na kazi kichwa cha habari kinavyojieleza;
■Usimuumize moyo wake kwa namna yoyote ile.
■Usimvunjie heshima kwa kumsema/kumgombeza mbele za watu hasa watu wanao wahusu.
■Usipritend unampenda wakati moyo wako uko mwingine.
■Usithubutu kumtolea kauli kuumiza mf unamwambia wewe mjinga, mpumbavu.
■Usimchukulie kirahisi rahisi(never take her love for granted)yaani wakawaida
■Unasikiliza maneno ya kuambiwa unayaeta ndani kwa hasira unaanza kumpiga unampiga kwa maneno ya kuambiwa.
Maneno ya kuambiwa ni hatari sana kwenye mahusiano yenu.
■Nimewaza kwa sauti, kwanini unaenda na simu bafuni au unaificha ficha ficha. ■Usimfanye ajione hapendwi na anamkosi hapa ulimwenguni.
■Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri, peaneni maneno ya faraja na matumaini.
Sometimes kuna watu wanakuwa hawajielewi wanapokuwa kwenye mahusiano, hajui kumsifia mwenzi wake, hana kauli za mahaba
mwanamke amekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potention, mwanamke ambae hakodolei macho pochi yako, kweli anastahili kuuminzwa na kulia kila siku?
■Huna mda na mwenzi wako mkaa mkapanga mipango yenu, ikapangoka
■Msikilize kwani anakitu cha ziada
Nawatakia mvua njema wakazi wa Dar naona mvua imeanza