Mwanamke hatulizwi hadi hadi atulie mwenyewe lakini mwanaume hatulii hadi atulizwe!! Note that!!
Nimekuheshimu kwa hilo. Wanawake ni viumbe dhaifu sana. Mara nyingi wao ndio huwatafuta wapenzi wao wa zamani na kuomba waendelee kuwasugua hata kama wameolewa. Wanafrahia kuitwa michepuko huku wakihatarisha ndoa zao. Hawaoni mbele, wakitaka kuachwa wanalilia kubaki kwenye ndoa huku wanataka waendelee kuliwa nje.Mwanamke sio wakuzoeana nae atakuona mjinga,niliwai kumegewa demu wang nikavunja mahusiano bila kumuuliza chochote wala kuonyesh kuumizwa na ilo suala,baada ya muda alinitafuta tuendeleze richa ya kuwa mke wa mtu nikamkanya sitak huo mchezo
Huku wahuni wanajipigiaMtakuwa na amani na ataona unamjali na kumthamini [emoji127] mahusiano yenu yatakuwa na afya,na mtaishi maisha marefu no stress
Wanamtafuna kimya kimyaHuku wahuni wanajipigia
mwanaume yuko hivi katika maisha yake ni lazima kuna mwanamke atampenda sana na atamfanyia yote hayo mpka hata wengine watamuona mjinga kama akiwa na bahati na huyo mwanamke akatulia atakuwa mwanaume mwenye furaha ila huyio mwanamke akifanya upuuzi trust wanaume huwa hatupendi maisha yetu yote tunafanya tu kukidhi haja na majukumu yaliyotuleta hapa duniani haya maneno ulfaa uwaambia watoto ambao wanaanza mapenzi tuliokua tunaona unaandika vichekeshoWakuu habari za jioni,poleni na kazi kichwa cha habari kinavyojieleza;
■Usimuumize moyo wake kwa namna yoyote ile.
■Usimvunjie heshima kwa kumsema/kumgombeza mbele za watu hasa watu wanao wahusu.
■Usipritend unampenda wakati moyo wako uko mwingine.
■Usithubutu kumtolea kauli kuumiza mf unamwambia wewe mjinga, mpumbavu.
■Usimchukulie kirahisi rahisi(never take her love for granted)yaani wakawaida
■Unasikiliza maneno ya kuambiwa unayaeta ndani kwa hasira unaanza kumpiga unampiga kwa maneno ya kuambiwa.
Maneno ya kuambiwa ni hatari sana kwenye mahusiano yenu.
■Nimewaza kwa sauti, kwanini unaenda na simu bafuni au unaificha ficha ficha. ■Usimfanye ajione hapendwi na anamkosi hapa ulimwenguni.
■Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri, peaneni maneno ya faraja na matumaini.
Sometimes kuna watu wanakuwa hawajielewi wanapokuwa kwenye mahusiano, hajui kumsifia mwenzi wake, hana kauli za mahaba
mwanamke amekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potention, mwanamke ambae hakodolei macho pochi yako, kweli anastahili kuuminzwa na kulia kila siku?
■Huna mda na mwenzi wako mkaa mkapanga mipango yenu, ikapangoka
■Msikilize kwani anakitu cha ziada
Nawatakia mvua njema wakazi wa Dar naona mvua imeanza