mambo 7 wanayo udhi wanawake wengi walio kwenye ndoa

mambo 7 wanayo udhi wanawake wengi walio kwenye ndoa

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
1.kujifanya bize muda wa kuanza mech.

2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake

3.kuleta matukio ya kazini kwake home.

4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara

5.kupekua cm ya mmewe.

6.kumfokea hous garl

7.kuanika hovyo chup zake

8.kuwa ....ongeza..
 
1.kujifanya bize muda wa kuanza mech.2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake 3.kuleta matukio ya kazini kwake home.4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara 5.kupekua cm ya mmewe.6.kumfokea hous garl 7.kuanika hovyo chup zake 8.kuwa ....ongoza

Hapo namba moja yamkini anakuwa hajamaliza shughuli za nyumbani,jitahidi kumsaidia baadhi ya majukumu then utaenjoy kwani atakuwa hajachoka na atamaliza mapema na kuanza mechi muda muafaka.
 
1.kununa na kuzira pasipo sababu ya msingi

2.kuongea kama cherehani na kufoka pasipo breki
 
naamini mnaandika kero mnazopata toka kwa wake zetu.
otherwise ni ambazo mnapata toka kwa wake za watu walioko kwenen ndoa mnao cheat nao.
nasema hivi kwa sababutu ya majibu yenu against logic ya kichwa cha habari cha mada.
Anyway, me sina mke.
 
kimsingi wewe kama haupo kwenye ndoa,

huwezi sema chochote hapa.....
 
Kumfokea house girl ni jambo la kawaida wa wanawake walio kwenye ndoa. Na kama wewe ni mwanaume na una mke hakikisha unakuwa na house girl pia. Ili mke akikasirika awe na mtu wa kumfokea. Kama house girl hayupo basi fahamu utafokewa wewe. Ushauri ni wa bure huo.
 
Wanawake wanawake wanawake..hebu nkae pembeni mie

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
So hii topic inahusu wanawake tu! wanaume hawana makosa? yote yaliyoorodheshwa yanafanywa na men
 
1.kujifanya bize muda wa kuanza mech.

2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake

3.kuleta matukio ya kazini kwake home.

4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara

5.kupekua cm ya mmewe.

6.kumfokea hous garl

7.kuanika hovyo chup zake

8.kuwa ....ongeza..

Mkeo ndo yupo hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom