Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Ngoja niongezee kuelewa
Asili ya kisiwa haina mwenyewe kutokana na muingiliano wa watu. Hao ndugu zetu ambao wapo huko kuna ambao walitokea huku Dar, rufiji, bagamoyo au pwani, wengine walitokea tanga, kilwa. Kwa maana ya kutoka huku bara.
Waka anzisha makazi na mengine ni historia. Hapo ni vizazi na vizazi.

Mbona wapo wanzibara wanao zaliwa amana huku tuwasemeje.
Archielogical records zinaonesha wa persia ndio watu wa mwanzo kuja visiwani zanzibar. Ni baada ya kuonekana vitu vyao pale ngome kongwe.
 
kitimoto kupata lazima uwe na connection

mara nyingi zipo kwenye center za wakatoliki mfano kuna sehemu iko welezo huko kitimoto ya kila mtindo utaipata muda wowote.

ila cha ajabu nimekaa zanzibar miaka mitatu sasa sijawahi katizana na mbwa
Ila paka kule wanene balaa kama nguruwe
 
Wewe unafikiri kati ya bara na pwani ni jamii ipi ilianza kustaarabika??????Tumia fikra tunduizi na siyo mhemko na papara.
Unazungumzia ustaarabu upi hasa?

Kwasababu hapo juu kuna mahali umetaja Elimu, je ni hii elementary Education iliyoletwa na Wagalatia kupitia Makanisa au ipi?

Fafanua huo ustaarabu unaousema tafadhali, au unazungumzia kuchamba na maji ya kopo?
 
Archielogical records zinaonesha wa persia ndio watu wa mwanzo kuja visiwani zanzibar. Ni baada ya kuonekana vitu vyao pale ngome kongwe.
Umenikumbusha hii, (The History of Tanzania).
 
Ni Bibi Janet Mbweni, Na kuna bingwa wao anajiita mollel anaishi apo zanzibar mbweni kutoka arusha huyo ndo supplier mkubwa wa wote hao, kitimoto yake safi sana asee, ukiila unajiona kama upo bara moshi uko machame, na isistoshe ata hao ndugu zetu ni wateja wakubwa tu
 
Yote hayo yapo katika wao.kukulia katika dini. Dini ya islam ndio 99% sasa hayo mambo ya mtu kujikweza tajiri anaona haya maisha ya dunia tu leo upo juu kesho udongon.kutoa salam ndan ya gari wao wanafata taratibu za uislamu
1.aliye kwenye kipando anasalimia walio kwa mguu.
2.aliyesimama anasalimia waliokaa.
3.wanaopishana ni hiari kwa mmoja wao kuanza kusalimia.
Kinaa (kuridhika) kwa mioyo yao ndio kunafanya watu waone visiwan maisha yao simple ila ni kukinai tu.dini ikiingia sana miashan mwa watu ndio utaona hata anakushangaa unaenda kutwa na njia kulimbikiza mali ili hali ukisikia njaa wala huwez kula kilo tano ispokuwa sahan moja tu.majumba 200 lakn unalala chumba kimoja katika jumba tena upenuni.
Noma sana!
 
Mim nimeishi na Wazenji nakuhakikishia huwez wataman jinsi walivyokua wachafu mwanamke ukikaa naye karibu unasikia harufu za ajabu ajabu mbaya yaan hawataminish, utawataman Kam hujawah ishi nao
Tatizo lako unaandika km wanawake wote wa zanzibar wapo ivo.ungesema baadhi ya wanawake uliokutana nao wanatoa harufu za ajabu ...usituambie kuwa zanzibar wanawake wote wananuka huo utakuwa ni uongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwenye siasa Zanzibar wapo vizuri sana
11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!

12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!

13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.

14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k

15.
Siyo waoga katika kudai haki zao.

16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.

Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.

Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
 
Namba 3 namba 5 na 10 umedanganya na sijui kama unapajua huko zanzibar au sijui ni story za vijiweni ww umeamua kuzifanya official
Wewe ndio hujakaa au kufika Zanzibar, hayo yote ni ukweli.
 
Back
Top Bottom