Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,031
Nimewahi kuishi hapo nyarugusu

11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi.
Kwa sasa ndizi fupi, ambazo Moshi tunatumia kutengeneza mbege ni shilingi 500.
2. Samaki na bidhaa za bahari ni ghali kuliko hata maeneo yasiyo na bahari Tanzania bara
Usidhani kwamba ukifika hapa utakula samaki kwa mtelezo,ebwana bei ya samaki wote hadi pweza inazidi hata Morogoro, nadhani ni effect ya utalii au umasikini,mtu anavua samaki anauza kipande elfu 5 ambacho bara elfu 2.
3. Watu wake wengi ni wavivu na wanaopenda kazi za mtelemko,pia kubebana na rushwa iko kwa kiwango kikubwa sana kwenye baadhi ya sekta kama afya,elimu na biashara
hapa ndio shida ilipo,wazenji wengi wavivu sana na wapenda dezo...ila wanaridhika na wanachopata...wanapenda sana connection na hakuna haki,huku ni nani anajuana na nani na kila mmoja anajigamba anafanya kazi ikulu au yeye ni usalama wa taifa
Zanzibar hakuna mnyonge,unakuta mshona viatu anasema yeye ni ndugu wa raisi kwahiyo usimchukulie poa.
Kwenye elimu kuna kubenana sana ndio maana ubora wa elimu yao uko chini sana kulinganisha na bara,ushahidi ni matokeo ya kidato cha nne.
4. Kama unapenda ngono za ovyo ovyo basi huku utakua na option mbili tu
(a) Kufa na nyege zako
(a) Kununua malaya wanaotoka bongo hasa kwa gia ya kuja kufanya kazi za hotel,hawa wengi wanapatikana muda wowote kwenye msururu wa bar zilizopo karibu na uwanja wa amani..huko zimepangwa gari ndogo ndio gesti hizo,unalipia demu unaenda chakatia humo sababu gharama ya gesti ni juu sana na masharti ni makubwa.
Ama ukiweza uende kununua malaya shamba huko pembezoni ya mji kama kiwengwa,nungwi,paje n.k
Ukikamatwa na binti wa watu mvaa shungi hapo lazima uoe na wao ndoa ni kitu huwa hawacheleweshi hata kidogo...unaozeshwa na ndugu wanahamia hapo hapo sasa utachagua uwakimbie au ubaki upambane na hali.
5. Watoto wa kiume zanzibar wako kwenye hatari kubwa zaidi kimalezi kuliko watoto wa kike.
hili suala baya sana..kuna kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa na kulawitiana,zanzibar watoto wa kike wanalindwa sana na sheria za dini na imewasahau wanaume...ni kawaida kukuta watoto wa miaka 10-25 wako maskani hadi saa tano au sita usiku bila uangalizi wowote
matumizi ya dawa za kulevya na sigara pia bangi hadharani ni makubwa sana kulinganisha na bara.
ndio maana kitaaluma wanaoongoza ni wasichana siyo wavulana,na wanawatawala hadi ndani ya nyumba
mwanaume wa zanzibar kukuta anaosha vyombo,kupika na kufua ni kawaida wakati mke wake akiwa anapaka hina au kashika mtoto kwa mikono miwili(hawabebi mtoto mgongoni)
6.ukiona dada yako kaaga anaenda zanzibar kufanya kazi ya hoteli,au kwa shoga yake kutembea,au tu kazi yoyote isiyo professional basi ujue yupo huku anajiuza.
maisha zanzibar ni ghali sana kuishi bila kipato cha uhakika...kwahiyo njia pekee ya wenye mtaji mbususu ni kuiuza kwa nguvu ukizingatia kuna uhaba sana wa mbususu
kwahiyo kuwa makini sana na mdada abayeaga kwenda zanzibar
7.dhana ya ubaguzi kwa zanzibar ni vile wewe utaamua kuishi nao,ukitaka usibaguliwe basi usichangamane sana nao hasa hasa kama wewe ni mgalatia...ila ukiwa kiherehere kwenye mambo yao utaona unabaguliwa kila mara sababu wakikuuliza jina ukasema naitwa matayo basi kuna baadhi ya mambo utayasikia tu.
waulize walioomba sensa
8.wazanzibari hawana makuu...yeye akienda kuendesha boda boda akatimiza malengo saa nne asubuhi basi anarudi kulala na mke wake
hawana mambo ya kulazimisha mtu kwenye biashara wala kuita ita uje kununua
akitaja bei hata hana haja ya kukuuliza una shingapi,ukishindwa ondoka ataishia kusema Si riziki...
konda wa daladala kama hana chenchi anakurudishia hela yako uende bila matusi wala kashfa...konda akiita mtu mara moja harudii na mara nyingine anamuomba abiria siti hasa hasa ikiwa jioni kachoka,konda anakaa abiria anasimama
9.wageni wengi ndio wanawasanua akili sasa hivi wanaamka kiasi,lakini wameamka kipindi ambacho wengi wamepigwa gap kubwa sana.
uzuri kihistoria hakuna mmiliki halali wa hivi visiwa lakini kwa sasa mambo mengi yamekamatwa na wageni hasa wahindi na waarabu,wabantu wana hali mbaya sana za kiuchumi...ukimkuta masikini zanzibar ni masikini kweli kweli
10.wanapenda umwinyi na kusifiwa au muhindi
wewe ukimwona mweupe mwite mwarabu basi anafurahi sana,zawadi mpe kanzu na balaghashia
kama unataka demu basi anzia hapo kwenye kumwita mwarabu,na wao huwa wanasema wao ni waarabu,kumbe ni mazao ya muingiliano huo uliotokea zamani kati ya wageni mbalimbali waliokua wakifika hapa kwa shughuli zao.
ila wao wanachojua kwao ni Oman
All in All.....Zanzibar kuzuri kuishi sana ila usiwe na makuu,hautapata huduma nyingi kwa haraka na nafuu kama ulivyozoea bara
hakuna bar na gesti holela mtaani,ni mara chache sana kupishana na mlevi na akitokea mtu anakatiza mahala kalewa basi wanaitana mtaa mzima kuja kumshangaa.
![]()
Ustaarabu ulianzia pwani? Labda Usta-waarabu11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!
12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!
13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.
14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k
15.Siyo waoga katika kudai haki zao.
16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.
Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.
Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
Wewe unafikiri kati ya bara na pwani ni jamii ipi ilianza kustaarabika??????Tumia fikra tunduizi na siyo mhemko na papara.Ustaarabu ulianzia pwani? Labda Usta-waarabu
Naona tatizo hapa ni maana ya KUSTAARABIKA. Kila jamii ina ustaarabu wake.Wewe unafikiri kati ya bara na pwani ni jamii ipi ilianza kustaarabika??????Tumia fikra tunduizi na siyo mhemko na papara.
Yote hayo yapo katika wao.kukulia katika dini. Dini ya islam ndio 99% sasa hayo mambo ya mtu kujikweza tajiri anaona haya maisha ya dunia tu leo upo juu kesho udongon.kutoa salam ndan ya gari wao wanafata taratibu za uislamu11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!
12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!
13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.
14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k
15.Siyo waoga katika kudai haki zao.
16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.
Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.
Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
Wazenji wengi wanafahamiana...ni km ndugu wamoja ndio maanampk wanapelekana Polisi ujue wao polisi ndio wamegundua au hao watu wamekorofishana mambo mengi yanaishia kwa sheha na sio vyombo vya dolanilishangaa sana hili, yaani kule kusikia kalawiti/kalawitiwa ni jambo la kawaida sana/mno na ni kesi ya kawaida sana, yaani sana,
tena jambo linamalizwa juu kwa juu, huku bara mlawiti nondo 30 zinamhusu fasta fasta
SASA HUKO ZENJI SINDO DINI IMESHIKA HUKO VIP WANAFANYA UPUUUZI KAMA HUO MANA MAMBO HAYO NILITARAJIA SANA BARA SABABU HATUISH SANA KWNY MIFUMO YA DINI....nilishangaa sana hili, yaani kule kusikia kalawiti/kalawitiwa ni jambo la kawaida sana/mno na ni kesi ya kawaida sana, yaani sana,
tena jambo linamalizwa juu kwa juu, huku bara mlawiti nondo 30 zinamhusu fasta fasta
issue ya dini ni wasifu wa njeDINI IMESHIKA HUKO
Ni kweli mkuu wanawake kutoka Tanganyika walioko Zanzibar %99 wanajiuza na kwa Zanzibar wanawake wasoko sana tofauti na uku bara" wanawake walichoka na kuzalishwa wengi wao ukimbilia Zenji kwasababu kuna fursa wakiwa Zanzibar wanalipiwa kodi na wanaendeshwa na magari wana pewa pesa nyingi ambazo uku bara hawezi kupewa mpaka anakufa, yani utakuta demu kazalishwa bongo kachoka lakini akienda zenji ana bebwa na gari, sisi wabongo wenzao hawa tutaki wao wanawataka wazanzibari tu.NIMEPENDA ANALYSIS YAKO INGAWAJE KUNA MAMBO HAYAPO SAWA
Mfano:- Kuhusu wabongo wanaofanya kazi hotelin wanajiuza sidhan kama ni kwel hii!!
Kule Zanzibar kesi za kulawiti ni kesi zakawaida kama bongo mtu kuibiwa simu.nilishangaa sana hili, yaani kule kusikia kalawiti/kalawitiwa ni jambo la kawaida sana/mno na ni kesi ya kawaida sana, yaani sana,
tena jambo linamalizwa juu kwa juu, huku bara mlawiti nondo 30 zinamhusu fasta fasta
Wazanzibari hawana makelele utakuta Mitaa yao kama za Mazense, Mwananyamala, keko, lakini mtaani kumetulia ukikuta nyumba inapiga muziki na mikelele ujue wanaishi humo ni watanganyika.11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!
12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!
13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.
14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k
15.Siyo waoga katika kudai haki zao.
16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.
Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.
Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
Mkuu hii ripoti yako ni kubwaa sanaa ume angalizia mambo yoteee ktk nyanja za kijamii, kiuchumi , n.k1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi.